-
Vazi la Hijabu na Uhuru wa Mwanamke
Mar 03, 2018 06:49Vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, hijabu ni miongoni masuala yaliyozusha mjadala mkubwa na mbali na mvuto wake, lakini pia limekabiliwa na mitazamo tofauti katika jamii mbalimbali.
-
Baraza la Haki za Binadamu la UN na sera za uzandiki na undumakuwili linazolazimishwa kufuata
Mar 01, 2018 23:05Kikao cha 37 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinaendelea mjini Geneva, Uswisi.
-
Ongezeko la askari wa Marekani nchini Afghanistan
Feb 25, 2018 23:09Kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa, Marekani bado ina mpango wa kuongeza idadi ya askari wake nchini Afghanistan
-
Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 20, 2018 01:20Hotuba iliyotolewa Jumapili iliyopita na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA imeonesha tena kwamba, sera za Mfumo wa Kiislamu wa Iran zimebuniwa kwa msingi wa mantiki na busara na kwa kutilia maanani tajiriba na utambuzi wa kina wa malengo ya Marekani.
-
Kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima Zahra AS
Feb 19, 2018 11:58Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra (a.s) binti mtukufu wa Bwana Mtume (s.a.w) na mwanamke bora duniani na akhera, mwanamke ambaye ni kigezo na ruwaza njema. Amani iwe juu yako Ewe Fatma Zahra mwanamke bora wa duniani na Akhera, Bibi wa wanawake wa peponi, Mtukufu as-Sidiqah at-Tahirah Fatimatuz Zahra (Salaamullahi Alayha).
-
Rekodi mpya ya utawala wa Al Khalifa wa Bahrain katika kukiuka haki za binadamu
Feb 15, 2018 00:35Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch la Bahrain limetangaza kuwa, kumefanyika vitendo 995 vya ukiukaji wa sheria za kijamii na haki za binadamu nchini humo katika mwezi uliopita wa Januari.
-
Sababu za kubakia na kudumu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 10, 2018 07:25Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wenye busara wa Imam Ruhullah Khomeini; mapinduzi ambayo yalihitimisha utawala dhalimu na kibarala wa mfalme Shah. 11/02/2018
-
Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mwanadamu wa Leo
Feb 09, 2018 02:16Licha ya kupita miaka 39 sasa tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran lakini mapinduzi hayo na taathira zake kikanda na kimataifa yangali yanajadiliwa hadi sasa katika duru mbalimbali za kisiasa, vyuo vikuu na vyombo vya habari kote duniani.
-
Kujiamini na ustawi wa kisayansi Iran
Feb 08, 2018 04:59Hamjambo wapenzi wasikilizaji. Tuko katika siku hizi ambazo ni maarufu kama Alfajiri 10, ambazo ni siku za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979. Tumewaandalia makala kadhaa kwa munasaba huo na leo tutaangazia maendeleo na mafanikio makubwa ya watu wa Iran katika uga wa sayansi kutokana na kujiamini taifa hili la Kiislamu. Karibuni.
-
Domokaya na makelele ya Trump hayawezi kubadilisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Feb 08, 2018 00:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha misimamo ya Tehran kuhusiana na matukio ya kieneo na kimataifa katika mkutano wake na waandishi wa habari wa ndani na wa nje na kusema kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwamba, katu hakutoongezwa au kupunguzwa chochote katika makubaliano hayo.