uncategorised
  • "Fire and Fury", kitabu kilichowasha moto wa hasira za Trump

    Feb 03, 2018 15:04

    Mwanzoni mwa mwezi wa Januari Michael Wolf, mwandishi wa Kimarekani alianza kusambaza kitabu ambacho kimeshika nafasi ya kwanza katika orodha ya vitabu vinavyouzwa kwa wingi zaidi katika mtandao wa Amazon.  

  • Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 39 ya kusimama kidete dhidi ya mfumo wa kibeberu

    Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 39 ya kusimama kidete dhidi ya mfumo wa kibeberu

    Feb 01, 2018 05:10

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi, ambacho ni kipindi cha tangu kurejea Imam Khomeini kutoka uhamishoni hadi kupatikana ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

  • Mapinduzi ya Kiislamu katika mstari wa mbele wa kupinga uistikbari na kuunga mkono mapambano ya Kiislamu

    Mapinduzi ya Kiislamu katika mstari wa mbele wa kupinga uistikbari na kuunga mkono mapambano ya Kiislamu

    Feb 01, 2018 04:42

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyowaandalieni kwa munasaba wa siku hizi za maadhimisho ya kuingia katika mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya 1979. Katika makala hii ya leo tutaangazia kadhia ya 'Mapinduzi ya Kiislamu katika mstari wa mbele wa kupinga uiskitabiri wa kimataifa na kuunga mkono muqawama au mapambano ya Kiislamu.

  • Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khomeini na Msingi wa Utawala wa Faqihi

    Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khomeini na Msingi wa Utawala wa Faqihi

    Jan 31, 2018 05:17

    Alfajiri ya tarehe 12 Bahman 1357 Hijria Shamsia (11 Februari 1979) ilikuwa siku ya matarajio makubwa na kusibiri kwa hamu kulikoandamana na wasiwasi na hofu kubwa.

  • Makundi ya kitakfiri yahudumia malengo ya utawala wa Kizayuni

    Makundi ya kitakfiri yahudumia malengo ya utawala wa Kizayuni

    Jan 27, 2018 00:44

    Duru za habari zimefichua sura mpya na pana zaidi ya ushirikiano wa utawala wa Kizayuni wa Israel na makundi ya kitakfiri na kigaidi huko Syria na kutangaza kwamba, utawala huo umeunda kundi la kigaidi kwa ajili ya kuusaidia utawala huo katika maeneo unayoyakalia kwa mabavu ya Golan.

  • Kumbukumbu ya Kuzaliwa Bibi Zaynab al Kubra AS

    Kumbukumbu ya Kuzaliwa Bibi Zaynab al Kubra AS

    Jan 23, 2018 04:43

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Bibi Zaynab al-Kubra (a.s) binti ya Imam Ali bin Abi Talib (a.s); mwanamke ambaye aliondokea kuwa mashuhuri kutokana na fadhila, elimu, subira na ushujaa mkubwa aliokuwa nayo.

  • Trump na kupamba moto tena ubaguzi nchini Marekani

    Trump na kupamba moto tena ubaguzi nchini Marekani

    Jan 20, 2018 07:42

    Rais Donald Trump wa Marekani siku chache zilizopita aliendeleza siasa za kuwapiga vita wahajiri na wageni nchini humo kwa kutoa matamshi machafu yaliyowakasirisha walimwengu na kuonesha tena dhati ya kibaguzi ya kiongozi huyo.

  • Homa ya mitindo na fasheni katika ulimwengu wa sasa

    Homa ya mitindo na fasheni katika ulimwengu wa sasa

    Jan 20, 2018 07:28

    Bila shaka wewe pia msomaji mpendwa, umeshawahi kukutana na watu wanaopendelea kuvaa mavazi ya aina makhsusi, au wanaotengeneza nywele zao kwa mtindo fulani wa aina yake, au wanaofanya harakati makhsusi katika mienendo na tabia zao.

  • Ushiriki wa Ulaya kwa ajili ya kuwarejesha makwao wahajiri wa Kiafrika

    Ushiriki wa Ulaya kwa ajili ya kuwarejesha makwao wahajiri wa Kiafrika

    Jan 16, 2018 23:09

    Kuendelea hali mbaya na mazingira mabovu waliyonayo wahajiri huko nchini Libya, kumeufanya Umoja wa Ulaya utangaze azma yake ya kushirikiana na Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuwarejesha katika nchi zao wahajiri hususan wale walioko katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.