-
Njama za wazi na za siri za Marekani katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 11, 2018 00:19Jumanne asubuhi, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alikutana na maelfu ya wananchi wa Qum waliokwenda kuonana naye ambapo sambamba na kuzungumzia mwamko wa wananchi wa tarehe 19 Dey 1356 Hijiria Shamsia, sawa na tarehe 9 January 1978, alifafanua pia uaminifu wa raia wa taifa hili kwa kubaini njama tofauti za adui katika kutumia vibaya malalamiko sahihi ya wananchi hapa nchini.
-
Kuongezeka gharama za kijeshi ulimwenguni na kukinzana kwake na Malengo ya Milenia
Jan 04, 2018 23:00Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imesema katika ripoti yake kwamba, gharama za kijeshi ulimwenguni ziliongezeka kwa asilimia 46 katika kipindi cha miaka kumi kuanzia 2005 hadi 2015.
-
Mwaka 2017, ulikuwa mwaka wa kuendelea kutolewa hukumu za kunyongwa na kupokonywa uraia wananchi wa Bahrain
Jan 03, 2018 00:30Jumuiya ya Kitaifa na Kiislamu ya al-Wifaq ya Bahrain ambayo ndio harakati kubwa zaidi ya upinzani nchini humo, imeutaja mwaka 2017 uliomalizika kwamba, ulikuwa mwaka mbaya zaidi kwa upande wa usalama na ukandamizaji wapinzani nchini Bahrain.
-
Kushtadi mauaji ya Saudi Arabia ikishirikiana na Marekani dhidi ya wananchi wa Yemen
Dec 30, 2017 04:39Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen amekosoa vikali kuendelea kuuawa kiholela raia katika nchi hiyo, mauaji ambayo yamekuwa yakifanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Mpaka wa Iran na Pakistan kuwa eneo la amani na urafiki
Dec 30, 2017 00:56Msemaji wa jeshi la Pakistan ametangaza kuwa, mpaka wa nchi hiyo na Iran utafanywa kuwa mpaka na eneo la amani na urafiki kwa maana halisi ya neno hilo.
-
Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu-2
Dec 26, 2017 13:16Hatua ya Rais Donald Tump wa Marekani ya kuitambua Quds (Baitul Muqaddas au Jerusalem) kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel kwa mara nyingine imeuweka mji huo mtakatifu kwa dini zote za Mwenyezi Mungu hususan Uislamu katika kurasa za mbele za magazeti na safu ya kwanza ya habari za vyombo vya mawasiliano ya umma kote duniani.
-
Isa Masiih, Mtoa Bishara Njema
Dec 25, 2017 04:53Disemba 25 inasadifiana na siku aliyozaliwa Nabii Isa Masiih (as) kwa mujibu wa imani ya Wakristo waliowengi.
-
Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu -1
Dec 19, 2017 07:55Miaka mia moja baada ya kutolewa Azimio la Balfour (Balfour Declaration) la waziri wa wakati huo wa mambo ya nje wa Uingereza akiafiki kuundwa dola la Kiyahudi katika ardhi ya Palestina, Donald Trump, Rais wa sasa wa Marekani ameitangaza Quds tukufu (Jerusalem) na Baitul Muqaddas, Kibla cha Kwanza cha Waislamu wote, kuwa ni mji mkuu wa utawala huo bandia wa Israel.
-
Kushadidi harakati za serikali ya Marekani dhidi ya Iran
Dec 16, 2017 00:14Serikali ya Marekani imeanzisha wimbi jipya la harakati za propaganda chafu dhidi ya Iran kwa tuhuma zisizo na msingi zilizotolewa na balozi wa nchi hiyoi katika Umoja wa Mataifa na miswada kadhaa iliyopasishwa na Kongresi ya nchi hiyo.
-
Ukosoaji wa Amnesty International kwa Umoja wa Ulaya kuhusiana na wahajiri wa Kiafrika
Dec 13, 2017 00:48Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International sambamba na kuyatuhumu madola ya Ulaya kwa kuwaunga mkono viongozi wa Libya wanaoshirikiana na magenge ya magendo ya binadamu limesema kuwa, madola hayo yanashirikiana katika ukiukaji wa haki za wahajiri nchini humo.