-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu na Ujumbe wa Mtume (saw)
Dec 05, 2017 08:27Tumo katika kipindi cha Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
-
Utumwa Mamboleo, Jinai ya Kimyakimya
Dec 05, 2017 07:51Mwaka 1949 Umoja wa Mataifa uliitangaza tarehe Pili Disemba ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Kufuta Utumwa.
-
Umoja kwa mtazamo wa Imam Khomeini na Kiongozi Muadhamu
Dec 04, 2017 13:32Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu na maadhimisho ya Wiki ya Umoja.
-
Kipindi maalumu cha Milaad an-Nabi SAW
Dec 04, 2017 08:33Hizi ni siku za kusherehekea uzawa wa Bwana Mtume Muhammad al-Mustafa (saw). Huku tukikupeni mkono wa pongezi, fanaka na heri kwa mnasaba wa kuwadia siku hizi adhimu na za furaha kubwa, tunakuombeni mujiunge nasi ili tupate kusikiliza kwa pamoja kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba huu, karibuni.
-
Aal Saud; Mzusha Mifarakano na Kizuizi cha Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 04, 2017 06:23Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Kiislamu ambacho maudhui yake inasema: "Aal Saud, mzusha mifarakano na kizuizi cha umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu". Endeleeni basi kunitegea sikio kuanzia awali hadi tamati ya kipindi hiki.
-
Mwito wa Libya wa kuondolewa vikwazo vya silaha
Dec 02, 2017 00:42Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ametaka nchi yake iondolewe vikwazo vya silaha vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa mwaka 2011.
-
Novemba 29; tokea kugawanywa Palestina hadi kutangazwa mshikamano wa kimataifa kwa wananchi wake madhulumu
Nov 29, 2017 23:54Tarehe 29 Novemba mwaka 2017 inasadifiana na mwaka wa 72 tangu kupitishwa azimio nambari 181 dhidi ya Palestina na mwaka wa 40 tangu ulipotangazwa mshikamano wa kimataifa kwa wananchi wa Palestina, ambapo hatua zote hizo mbili zilichukuliwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Manuva ya kijeshi ya China katika pwani ya Djibouti
Nov 28, 2017 09:17Duru za China zimetangaza habari ya kufanyika manuva ya kijeshi ya nchi hiyo katika pwani ya Djibouti iliyoko katika Pembe ya Afrika.
-
Imam Ridha AS na risala yake iliyojaa siri za afya
Nov 18, 2017 13:18Leo mji mtakatifu wa Mashhad umetanda huzuni na majonzi katika haram ya Ali bin Musa Ridha AS. Idadi kubwa ya waombolezaji wamefika katika haram hiyo kwa ajili ya kuombleza. Leo ni siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Ali bin Musa Ridha AS ambaye ni kutoka katika kizazi kilichotakasika cha Mtume Muhammad SAW.
-
Kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa ar Ridha (AS)
Nov 18, 2017 13:11Assalaam Alaykum. Tuko katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar, siku ambayo ni kumbukumbu ya kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa Ridha (as) mmoja kati ya watu wa Nyumba tukufu ya Mtume Mtukufu Muhammad (saw).