uncategorised
  • UN yaitaka Marekani kuzingatia haki za Wamarekani Waafrika

    UN yaitaka Marekani kuzingatia haki za Wamarekani Waafrika

    Jan 31, 2016 04:40

    Jopo la Wataalamu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Watu Wenye Asili ya Afrika (The Working Group of Experts on People of African Descent) limekutana na Wamarekani Waafrika au Wamarekani weusi kote Marekani na kutoa ripoti maalumu kuhusiana na mikutano hiyo.

  • Kubatilishwa matokeo ya uchaguzi wa Bunge katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Kubatilishwa matokeo ya uchaguzi wa Bunge katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jan 26, 2016 21:46

    Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imetangaza kuwa, imebatilisha matokeo ya uchaguzi wa Bunge kutokana na uchaguzi huo kutawaliwa na udanganyifu na ukiukwaji mkubwa wa kanuni za uchaguzi.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Sep 16, 2018 05:57

    Je, tukio la Ashuraa na mauaji ya mjukuu wa Mtume (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika siku ya tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria lina umuhimu katika utamaduni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia peke yao? Au la, madhehebu nyingine za Kiislamu pia kama madhehebu za Ahlusunna, zinajali sana tukio hilo na kuumizwa mno na masaibu ya Hussein bin Ali na dhulma zilizofanywa na madhalimu dhidi ya familia hiyo ya Mtume?