-
Umoja wa Mataifa: Hali ya kibinadamu Ukanda wa Gaza ni mbaya kutokana na kuongezeka wimbi la njaa
Aug 22, 2026 02:53Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza kutokana na kuendelea mashambulizi ya utawala wa Israel pamoja na kushadidishwa mzingiro dhidi ya eneo hilo.
-
Miaka 57 tangu kuchomwa moto Msikiti wa Al-Aqswa; uhalifu unaoendelea kujirudia
Aug 22, 2026 02:51Miaka 57 baada ya kuchomwa moto kwa Msikiti wa Al-Aqsa, utambulisho wake wa Kiislamu unaendelea kutishiwa na njama za kuliyahudisha eneo hilo takatifu zingali zinaendeea.
-
Wapalestina ‘wanakabiliwa na baa la njaa’ huku walowezi wa Kizayuni wakiendeleza mzingiro katika mji wa Qusra
Aug 21, 2026 10:19Wapalestina walionaswa ndani ya nyumba zao katika mji wa Qusra wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula huku walowezi wenye itikadi kali za Kizayuni wakiendeleza mzingiro wao dhidi ya mji huo wa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, wakati vikosi vya utawala ghasibu wa Israel vikiendelea kuzuia misaada ya chakula kufika.
-
Mazishi ya Wapalestina 50 wasiojulikana waliouawa katika mauaji ya kimbari
Aug 21, 2026 06:08Mamia ya watu wameswali Swala ya Janaza wakati wa mazishi ya pamoja katika Jiji la Gaza kwa ajili ya Wapalestina 50 ambao miili yao ilipatikana hivi karibuni na vikosi vya Ulinzi wa Raia ikiwa chini ya mabaki ya nyumba zilizobomolewa katika mashambulizi ya Israel wakati wa vita vya mauaji ya kimbari katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Baada ya kukana kwa zaidi ya miaka 2, Israel yakiri kumuua mtoto wa Kipalestina Hind Rajab
Aug 20, 2026 11:40Kwa mara ya kwanza, jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limekiri kuwa lilimuua Hind Rajab mtoto wa Kipalestina mwenye umri wa miaka mitano huko Ghaza, na hivyo kubatilisha makanusho yake ya hapo awali, na kutangaza kwamba limeshaagiza kufanyika uchunguzi wa kijinai kuhusiana na mauaji yake.
-
Israel imepora hekta 25,000 za ardhi ya Ukingo wa Magharibi katika miaka mitatu iliyopita
Aug 20, 2026 03:18Utawala dhalimu wa Israel umepora hekta 25,000 za ardhi ya Ukingo wa Magharibi katika miaka mitatu iliyopita.
-
Kwa nini Nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi Zimepoteza Imani na Marekani?
Aug 19, 2026 08:00Hali ya kutoridhishwa na Marekani inazidi kuongezeka miongoni mwa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.
-
Iran yakanusha madai kuwa imeishambulia UAE kwa makombora
Aug 19, 2026 04:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwamba Iran imevurumisha makombora mawili ya balestiki kuelekea nchi hiyo.
-
Ripoti: Vikosi vya Yemen vyashambulia kiwanda cha kusafisha mafuta cha Saudia cha Aramco katika mji wa Jizan
Aug 19, 2026 04:08Vikosi vya ulinzi vya Yemen vimetekeleza kwa mafanikio mashambulizi dhidi ya kituo cha mafuta kinachoendeshwa na kampuni ya serikali ya mafuta na gesi asilia ya Saudi Arabia ya Aramco, ikiwa ni hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya uchokozi na mzingiro unaoendelea kutekelezwa na utawala wa Riyadh dhidi ya Yemen.
-
Jeshi la Yemen lashambulia meli ya kivita za Saudia katika Bahari ya Sham
Aug 18, 2026 03:21Jeshi la Yemen limeishambulia meli ya kivita na boti kadhaa za kijeshi za Saudia katika Bahari ya Sham, ikiwa ni sehemu ya jibu la kulipiza kisasi dhidi ya kampeni ya kijeshi na mzingiro unaoendelea wa ufalme wa Saudia dhidi ya taifa la Yemen.