-
HAMAS yalitolea wito Baraza Kuu la PLO: Vunjeni uhusiano wenu wa kiusalama na Israel
Apr 24, 2025 00:43Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelitaka Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO livunje uhusiano wa uratibu wa kiusalama uliopo baina yake na utawala wa Kizayuni na kuchukua msimamo wa pamoja wa Palestina dhidi ya mauaji ya kinyama yanayoendelea huko Ghaza.
-
Hata UK, Ujerumani na Ufaransa nazo pia zalaani hatua ya Israel ya kuzuia misaada isiingizwe Ghaza
Apr 24, 2025 00:42Ufaransa, Ujerumani na Uingereza nazo pia zimelaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuendelea kuzuia kikamilifu misaada ya kibinadamu isiingizwe katika Ukanda wa Ghaza, na kutoa wito wa kuanzishwa mara moja utoaji misaada bila vizuizi sambamba na juhudi mpya za kusitisha mapigano.
-
Kubadilika mtazamo wananchi wa Marekani kuhusu Israel, Palestina na Hamas
Apr 24, 2025 00:01Wakati vita vya Ghaza vinaendelea na utawala wa Kizayuni umeshadidisha mauaji ya wanawake na watoto wa Palestina, mtazamo na mwelekeo wa wananchi wa Marekani kuhusuu Israel, Palestina na Hamas nao unaendelea kubadilika. Haya yamebainika katika chunguzi mpya za maoni zilizofanywa nchini Marekani.
-
Ansarullah: Hasira ya Netanyahu ni furaha kwetu
Apr 23, 2025 07:32Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeeleza kuridhishwa kwake na hatua ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kulaani mashambulizi yanayotekelezwa na Jeshi la Yemen dhidi ya ngome za Isarel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kusema hasira yake ni ushahidi wa juhudi zenye mafanikio katika kuunga mkono Wapalestina.
-
Israel imeua watoto 17,954 Wapalestina tangu ianzishe mauaji ya kimbari Gaza
Apr 23, 2025 07:31Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limeua watoto Wapalestina wasiopungua 17,954 tangu lianzishe vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Russia na Oman zasisitiza kuondolewa kwa wanajeshi wa Israel Ukanda wa Gaza
Apr 23, 2025 04:10Rais wa Russia na Sultan wa Oman wametoa taarifa ya pamoja na kusisitiza ulazima wa kuondolewa kikamilifu vikosi vya kijeshi vya Israel katika Ukanda wa Gaza na ardhi zote za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Jumuiya ya Wanazuoni Yemen: Jihadi dhidi ya uvamizi wa Marekani ni wajibu
Apr 23, 2025 04:09Jumuiya ya Maulamaa wa Yemen imesisitiza haja ya uhamasishaji wa jihadi, utayari wa vita, na utayari wa kujitolea katika kukabiliana na uvamizi wa Marekani.
-
Microsoft inashirikiana na Israel katika mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Apr 22, 2025 22:40Hatua ya Ibtihal Aboussad mhandisi wa nchini Morocco ya kupanda jukwaani na kumshutumu Mustafa Suleyman Mkuu wa Kitengo cha Akili Bandia AI cha Kampuni ya Microsoft imegonga vichwa vya habari duniani.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti wa Al Aqsa, eneo lake lafanana na 'kambi ya kijeshi'
Apr 22, 2025 06:42Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena ua wa Msikiti wa Al-Aqsa huku wakisindikizwa na polisi wa utawala ghasibu wa Israel Baitul Muqaddas Mashariki inayokaliwa kwa mabavu.
-
Ayatullah Sistani: Papa Francis alikuwa na hadhi ya juu kiroho mbele ya mataifa mengi
Apr 22, 2025 05:17Kiongozi Mkuu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amesema, Papa Francis alikuwa na hadhi ya juu kiroho mbele ya mataifa mengi kutokana na mchango wake wa kipekee katika kuhimiza amani na kuvumiliana pamoja na kuonyesha mshikamano na watu wanaodhulumiwa duniani.