-
Wazayuni waendeleza mashambulizi Ukingo wa Magharibi, wamjeruhi mtoto Mpalestina
Apr 16, 2025 04:17Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza mashambulizi na hujuma zao za mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi na kumjeruhi kwa risasi mtoto wa kike wa Kipalestina.
-
Mgogoro mkubwa katika jeshi la Israel; Kwa nini wanajeshi wa utawala huo wanatoroka?
Apr 15, 2025 23:12Barua ya malalamiko ya marubani wa Jeshi la Anga la Israel na uungaji mkono wa askari wa vitengo vingine kwa hatua hiyo ni kengele ya hatari kuhusu uwezekano wa kuenea uasi miongoni mwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni.
-
Walowezi 1000 wa Kizayuni wavamia Msikiti wa Al-Aqsa huku wakilindwa na wanajeshi wa Israel
Apr 15, 2025 22:51Katika siku ya tatu ya sikukuu ya pasaka ya Kiyahudi, walowezi elfu moja wa Kizayuni, huku wakisindikizwa na kupewa ulinzi na wanajeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia eneo la Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa katika mji wa Baitul-Muqaddas Mashariki unaokaliwa kwa mabavu.
-
Idadi ya vifo Gaza yafikia 51,000 huku Israel ikiendelea na mashambulizi ya kinyama
Apr 15, 2025 06:47Mashambulizi ya anga ya utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza yamewaua Wapalestina wengine wasiopungua 17 katika saa 24 zilizopita, na hivyo kufanya idadi ya vifo kutokana na vita vya kinyama vya Israel vilivyoanza Oktoba 2023 kufikia 51,000.
-
Mkuu wa majeshi ya Israel akiri: Hamas haijashindwa vitani
Apr 15, 2025 04:00Mkuu mpya wa jeshi la Israel ameonya kuwa, vikosi vya jeshi la utawala huo wa Kizayuni vinakosa nguvu kazi na rasilimali za kutimiza malengo ya kujitanua ya utawala huo katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, na kusema kuwa Hamas inaendelea kuudhibiti ukanda huo, mwaka mmoja na nusu baada ya kuzuka kwa vita hivyo.
-
Viongozi wa Misri na Qatar wakaribisha mazungumzo ya Iran na Marekani nchini Oman
Apr 14, 2025 23:46Rais wa Misri na Amir wa Qatar wametoa taarifa baada ya mazungumzo yao huko Doha, mji mkuu wa Qatar na kukaribisha mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani huko Oman.
-
Iraq yaonya dhidi ya kuibuka upya ISIS nchini Syria
Apr 14, 2025 09:36Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Fuad Hussein ameonya kuhusu kushadidi harakati za kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi jirani ya Syria, kufuatia kuanguka kwa serikali ya Rais Bashar al-Assad mwishoni mwa mwaka jana.
-
Kushindwa mhimili wa vita wa Kizayuni na Marekani katika vita huko Yemen na Gaza
Apr 14, 2025 07:29Licha ya mashambulizi yanayoendelea kufanywa na mhimili wa Kizayuni na Marekani dhidi ya Yemen na Gaza, bado vikosi vya jeshi la Yemen na Muqawama wa Palestina vinaendelea kukabiliana na wavamizi hao.
-
Jinai za kinyama za Israel Ghaza hazina udhibiti, Wapalestina wengine 37 wauawa shahidi
Apr 14, 2025 02:42Mashambulio makubwa na ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo mbalimbali ya Ghaza yamewaua shahidi Wapalestina wengine wasiopungua 37.
-
Abu Ubaidah: Wapalestina hawatosahau Wayemen walivyosimama nao bega kwa bega
Apr 14, 2025 02:41Msemaji wa Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, Wapalestina hawatosahau namna Wayemen walivyosimama imara na bega kwa bega pamoja nao katika Jihadi ya kuikomboa ardhi ya Palestina.