Asia Magharibi
  • Ansarullah: Matakfiri Syria ni vikaragosi vya madola ajinabi

    Ansarullah: Matakfiri Syria ni vikaragosi vya madola ajinabi

    Mar 10, 2025 07:55

    Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amelaani vikali machafuko mabaya yaliyotokea hivi karibuni katika eneo la pwani ya magharibi mwa Syria na kusisitiza kuwa, mbali na kuwa ghasia hizo ni tishio kwa wahusika wa jinai hizo na walezi wao, lakini pia ni somo kwa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu.

  • Nini kinajiri hivi sasa huko Syria?

    Nini kinajiri hivi sasa huko Syria?

    Mar 10, 2025 07:46

    Miezi mitatu baada ya kuanguka utawala wa Bashar al-Assad, Syria inashuhudia duru mpya ya vurugu na mivutano kati ya serikali ya mpito inayotawala nchi hiyo na makundi upinzani katika maeneo mbalimbali nchini humo.

  • UN yatoa wito wa kukomeshwa mauaji ya raia nchini Syria

    UN yatoa wito wa kukomeshwa mauaji ya raia nchini Syria

    Mar 10, 2025 03:29

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk ameonya katika taarifa yake kuhusu ghasia za hivi karibuni magharibi mwa Syria na kutoa wito wa kukomeshwa mauaji ya raia nchini humo.

  • Smotrich: Tunatayarisha mpango wa kuwatimua Wapalestina kutoka Gaza

    Smotrich: Tunatayarisha mpango wa kuwatimua Wapalestina kutoka Gaza

    Mar 10, 2025 03:06

    Waziri wa Fedha wa mrengo wa kulia wa Israel, Bezalel Smotrich, alifichua jana Jumapili kwamba maandalizi yanaendelea ya kuanzisha idara katika Wizara ya Ulinzi ili kuwatimua Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza.

  • Wakazi wengi wa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu wanataka Netanyahu ajiuzulu

    Wakazi wengi wa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu wanataka Netanyahu ajiuzulu

    Mar 09, 2025 22:58

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni yanaonesha kuwa, Wazayuni walio wengi wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) wanasema kuwa Netanyahu anapaswa kujiuzulu na kukubali kubeba jukumu la kushindwa mkabala wa oparesheni ya wanamapambano wa Palestina ya tarehe 7 Oktoba mwaka 2023.

  • Mufti wa Oman asisitiza kuunga mkono Wapalestina wanaodhulumiwa Gaza

    Mufti wa Oman asisitiza kuunga mkono Wapalestina wanaodhulumiwa Gaza

    Mar 09, 2025 07:54

    Mufti Mkuu wa Oman amewataka Waislamu wote na watu wanaopenda uhuru duniani kusaidia watu wanaodhulumiwa wa Gaza wanaoishi katika hali mbaya.

  • Indhari ya UN ya kutokea maafa ya kibinadamu Ukingo wa Magharibi kutokana na hujuma za Jeshi la Israel

    Indhari ya UN ya kutokea maafa ya kibinadamu Ukingo wa Magharibi kutokana na hujuma za Jeshi la Israel

    Mar 09, 2025 06:09

    Kufuatia kuendelea hujuma za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu imetoa indhari kupitia taarifa yake kwamba uvamizi na hujuma za jeshi hilo katika eneo la kaskazini la Ukingo wa Magharibi zina madhara na maafa makubwa ya kibinadamu.

  • Yemen yatishia kuifungia tena Israel Bahari Nyekundu

    Yemen yatishia kuifungia tena Israel Bahari Nyekundu

    Mar 09, 2025 03:17

    Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limeonya kuwa litarejea kwenye operesheni zake za kijeshi za majini za kuifungia Israel Bahari Nyekundu (Bahari ya Sham) kama Tel Aviv itashindwa kuheshimu muda iliopewa wa kukomesha mashambulizi yake ya kikatili dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

  • Mkutano wa Jeddah; licha ya kukamilisha lakini ni zaidi ya mkutano wa Cairo

    Mkutano wa Jeddah; licha ya kukamilisha lakini ni zaidi ya mkutano wa Cairo

    Mar 08, 2025 23:05

    Kufanyika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiislamu huko Jeddah mara baada ya mkutano wa dharura wa mawaziri wa Mambo ya Nje na Wakuu wa Nchi za Kiarabu huko Cairo, Misri kunaonyesha ushirikiano wa pamoja wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabiliana na mpango wa kuwafukuza kwa nguvu wakazi wa Ukanda wa Gaza na wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.