-
Ndege za kivita za Trump haziwezi kuipigisha magoti Yemen
Mar 26, 2025 22:52Chombo kimoja cha habari cha Marekani kimeandika makala ya uchambuzi na kusema kuwa, mashambulizi ya kijeshi ya Marekani, Israel na washirika wao kamwe hayawezi kulipigisha magoti taifa la Kiislamu la Yemen.
-
HAMAS: Netanyahu anaongopa akidai vita vitawarejesha mateka wote wakiwa hai
Mar 26, 2025 07:41Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imemshutumu Waziri Mkuu wa Israel, Benjami Netanyahu kwa "kudanganya familia za [mateka], anapodai kuwa chaguo la kijeshi lina uwezo wa kuwarejesha (mateka wote) wakiwa hai."
-
Mapatano na Lebanon; ndoto ya Wazayuni na upinzani mkali wa Walebanon
Mar 26, 2025 02:21Nabih Berri, Spika wa Bunge la Lebanon amefichua mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kuiburuza nchi hiyo ya Kiarabu katika mtego wa kuanzisha nayo uhusiano wa kawaida, na kusisitiza kuwa, Lebanon katu haiko tayari kuwa na uhusiano wa aina hiyo na utawala huo.
-
Makumi ya wafanyakazi wa UN wanaondoka Gaza, Israel yazidisha mauaji
Mar 25, 2025 23:11Kufuatia mashambulizi ya Israel dhidi ya kambi za Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kuuawa wafanyakazi watano wa shirika hilo la kimataifa, makumi ya wafanyakazi wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Gaza wanaondoka eneo hilo kutokana na wasiwasi wa mashambulizi ya Israel.
-
HAMAS: Uvunjeni mzingiro, komesheni mauaji na hitimisheni kuteswa Wapalestina kwa njaa
Mar 25, 2025 08:53Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa taarifa ya kulaani "mauaji ya kutisha" yanayoendelea kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel na kuitolea mwito Jamii ya Kimataifa ichukue hatua za kuudhibiti utawala huo dhalimu.
-
Mazungumzo ya kusitisha vita tena Ghaza yagonga mwamba kwa ukwamishaji wa Israel
Mar 25, 2025 08:51Duru za kuaminika zimefichua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umekataa mapendekezo yote yaliyotolewa na wapatanishi ya kusitisha mapigano kutokana na uungaji mkono kamili unaopata kwa Marekani na kwamba mazungumzo juu ya suala hilo yameishia kwenye mkwamo.
-
Mtengeneza filamu mashuhuri ya Palestina iliyoshinda Oscar apigwa na kukamatwa na askari wa Israel
Mar 25, 2025 08:17Hamdan Ballal, mtengeneza filamu mwenza wa Kipalestina wa filamu iliyoshinda tuzo ya Oscar iitwayo Hakuna Ardhi Nyingine (No Other Land) amekamatwa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu baada ya kupigwa na kujeruhiwa vibaya sana na walowezi wa Kizayuni. Hayo yameripotiwa na Yuval Abraham aliyeshirikiana naye kutengeneza filamu hiyo.
-
Uwanja wa Ndege wa Israel, manuwari ya Marekani zapigwa kwa makombora
Mar 25, 2025 03:16Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza habari ya kufanyika mashambulizi ya mafanikio dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion huko Tel Aviv, mji mkuu wa wa utawala wa Kizayuni na pia dhidi ya manuwari ya kubeba ndege ya Harry Truman ya Marekani kwenye Bahari Nyekundu.
-
HAMAS haitokwama kwa kuuliwa shahidi viongozi wake
Mar 25, 2025 03:16Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa, عtawala wa Kizayuni unajidanganya unapodhani kwamba utaweza kuiangamiza Hamas kwa kuwaua shahidi makamanda wake.
-
UNRWA: Mzingiro wa Israel utasababisha baa kubwa la njaa Gaza
Mar 25, 2025 02:53Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) ametahadharisha kwamba hatua ya utawala wa Israel ya kuweka mzingiro na kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia katika Ukanda wa Gaza inapelekea eneo hilo la pwani kukaribia baa kubwa la njaa.