-
Sababu Gani Zinaifanya UAE Ishupalie Vita Dhidi ya Iran?
May 06, 2026 11:21Muungano wa Falme za Kiarabu, UAE au Imarati umechukua msimamo wa waziwazi wa kushupalia vita hususan dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Palestina yajibu hatua ya Rais wa FIFA, yasema wanasoka 566 wa wameuawa na Israel
May 05, 2026 11:37Shirikisho la Soka la Palestina limechapisha ripoti kuhusu mauaji ya wachezaji wa mpira wa miguu na uharibifu wa miundombinu ya soka uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hizbullah yatwanga maeneo mbalimbali ya Israel katika oparesheni 11 za droni na makombora
May 04, 2026 10:25Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imesema kuwa imefanya operesheni 11 dhidi ya maeneo mbalimbali ya Israel, kwa kutumia ndege zisizo na rubani, makombora na mizinga katika mshambulizi yake mtawalia.
-
Israel yaifanya Gaza kuwa mahali hatari zaidi duniani kwa wanahabari
May 04, 2026 09:49Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu imetangaza Jumapili kuwa Gaza imegeuka kuwa sehemu hatari kuliko zote duniani kwa wanahabari, huku angalau wafanyakazi 295 wa vyombo vya habari wakithibitishwa kuuawa katika mashambulizi ya Israel tangu kuanza kwa vita Oktoba 2023.
-
Ripoti: Ukatili uliopangwa wa walowezi wa Israel dhidi ya Wakristo umefikia kiwango cha juu
May 03, 2026 10:19Ukatili uliopangwa unaofanywa na walowezi Waisraeli dhidi ya Wakristo na jamii zisizo za Kiyahudi katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu umeongezeka kwa kiasi kikubwa.
-
IRGC: Utekaji wa wanaharakati wa msafara wa misaada Gaza ni ‘ugaidi wa kimataifa’
May 03, 2026 10:23Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran amelaani vikali hatua ya vikosi vya jeshi la utawala haramu wa Israel kuzuia kwa nguvu meli za Msafara wa Global Sumud zilizokuwa zikipeleka misaada ya kibinadamu Gaza.
-
Hamas: Takwa la kukabidhi silaha ni kisingizio cha Israel cha kukwepa wajibu
May 03, 2026 10:15Mjumbe wa Idara ya Siasa ya Hamas, Mohammed Nazzal, amesema kuwa ombi la kukabidhiwa silaha za harakati hiyo ni kisingizio kinachotumiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kukwepa utekelezaji wa majukumu yake.
-
Manowari kubwa na ya kisasa zaidi ya Marekani yaondoka kwa fedheha katika vita dhidi ya Iran
May 02, 2026 11:31USS Gerald R. Ford, meli kubwa zaidi ya kivita na ya gharama ya juu kuwahi kuundwa na Marekani, imelazimika kujiondoa kutoka ukanda wa Asia Magharibi baada ya siku 309 za operesheni endelevu baharini, ikiwa katika jukumu la kuunga mkono vita dhidi ya Iran.
-
Viongozi wa Kikristo wamlaani Muisraeli aliyemshambulia mtawa wa kike katika mji wa al-Quds
May 02, 2026 11:24Malalamiko yameendelea kumiminika baada ya Muisraeli mwenye misimamo mikali kumshambulia mtawa wa kike raia wa Kifaransa, huku Waisraeli Wazayuni wakishadidisha mashambulizi dhidi ya Waislamu na Wakristo pamoja na maeneo matakatifu katika ardhi za Palestina zinazokoloniwa na utawala wa Israel.
-
Mwakilishi wa Palestina akataa ombi la rais wa FIFA la kupiga picha na Muisraeli
May 02, 2026 09:43Mkuu wa Shirikisho la Soka la Palestina amekataa ombi la rais wa FIFA, Gianni Infantino la kupiga picha na mwakilishi wa utawala haramu wa Israel.