-
Nchi za Kiarabu zalaani 'vitendo haramu' vya Israel nchini Syria baada ya kuanguka utawala wa Assad
Dec 09, 2024 23:22Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imelaani "vitendo haramu" vya utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Syria, ambapo utawala huo ghasibu unatumia fursa ya hali ya machafuko kupanua ukaliaji wake wa mabavu wa ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jeshi la Israel lawaua shahidi Wapalestina zaidi 50 katika mauaji ya halaiki yaliyozilenga familia Ghaza
Dec 09, 2024 11:19Wapalestina wengine zaidi ya 50 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza, na kuifanya idadi ya vifo katika eneo hilo tangu utawala huo haramu ulipoanzisha vita na mauaji ya kimbari Oktoba 7 mwaka jana kufikia 44,758.
-
Moscow: Assad aliondoka madarakani mwenyewe na kuamuru makabidhiano ya amani ya madaraka
Dec 09, 2024 09:50Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema kuwa Rais wa zamani wa Syria, Bashar al-Assad "ameondoka madarakani yeye mwenyewe na kutoa maelezo ya kukabidhi madaraka kwa amani, baada ya mazungumzo na makundi kadhaa ya wapinzani wenye silaha ya Syria."
-
Wanajeshi 4 wa Israel wauawa kwenye handaki kusini mwa Lebanon
Dec 09, 2024 09:47Jeshi la Israel limekiri leo Jumatatu kuwa wanajeshi wake wanne wameuawa kusini mwa Lebanon, likiwa ni tukio la kwanza la aina yake tangu baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano siku 12 zilizopita.
-
Hizbullah yatangaza eneo alikozikwa Shahidi Safieddine
Dec 09, 2024 04:36Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza mahala alipozikwa Sayed Hashem Safieddine, mkuu wa Halmashauri Kuu ya harakati hiyo ambaye aliuawa shahidi mwezi Oktoba.
-
Bashar al-Assad na familia yake wapewa hifadhi Russia
Dec 09, 2024 00:18Kanali ya Kwanza ya Televisheni ya Russia imeripoti ikiinukuu ikulu ya nchi hiyo Kremlin kwamba aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al-Assad na wanafamilia wake wako Moscow.
-
Idadi ya mashahidi Gaza yakaribia watu 45,000
Dec 08, 2024 23:42idadi ya mashahidi wa Kipalestina waliouawa tangu kuanza hujuma kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni huko Gaza (Oktoba 7, 2023) imekaribia watu 45,000.
-
Russia: Assad aliondoka Syria baada ya kujiuzulu na kutaka kukabidhiwa madaraka kwa amani
Dec 08, 2024 23:41Serikali ya Russia imetangaza kuwa, Rais wa Syria Bashar al-Assad alitoa maagizo ya kukabidhiwa madaraka kwa amani kabla ya kujiuzulu na kuondoka nchini humo.
-
Israel yashambulia ardhi ya Syria baada ya wanamgmabo kuteka Damascus
Dec 08, 2024 10:48Wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel wameanzisha mashambulizi katika ardhi ya Syria na kuingia katika mji wa Quneitra kusini magharibi mwa nchi hiyo karibu na Miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo. Uvamizi huo umejiri baada ya makundi ya wanamgambo kuchukua udhibiti wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wanamgambo wa HTS waudhibiti mji wa Damascus huku serikali ya Rais Assad ikianguka
Dec 08, 2024 10:45Serikali ya Syria imeanguka mapema Jumapili katika mwisho wa kushangaza kwa uongozi wa miaka 24 wa Rais Bashar al-Assad katika nchi hiyo ya Kiarabu baada ya kundi la wanamgambo wa Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) kuvamia na kuuteka mji mkuu Damascus.