-
Mahakama ya ICC yatoa waranti wa kukamatwa Netanyahu na Gallant
Nov 21, 2024 10:14Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetoa hati ya kukamatwa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na aliyekuwa waziri wake wa vita Yoav Gallant, wakituhumiwa kutenda jinai za vita.
-
Sheikh Qassem: Hizbullah kulenga Tel Aviv kujibu mashambulizi ya Israel dhidi ya Beirut
Nov 21, 2024 06:21Kiongozi wa Hizbullah amesema harakati hiyo ya muqawama ya Lebanon iko tayari kupigana vita vya muda mrefu dhidi ya utawala ghasibu wa Israel, na kwamba jibu lao kwa mashambulizi ya hivi karibuni ya anga dhidi ya Beirut litakuwa kulenga katikati mwa Tel Aviv.
-
Watu wasiopungua 36 wauawa shahidi katika hujuma ya anga ya Israel katika mji wa Palmyra, Syria
Nov 21, 2024 04:14Takriban watu 36 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni katika mji wa kihistoria na kitamaduni wa Palmyra nchini Syria.
-
Mpasuko na mgogoro mkubwa katika baraza la mawaziri la Netanyahu kutokana na baraza hilo kushindwa kukabiliana na makundi ya muqawama
Nov 21, 2024 00:57Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel linakabiliwa na mgogoro mkubwa usio na mfano wake kufuatia kuendelea vita vya Gaza na Lebanon na kushindwa jeshi la utawala huo kukabiliana na makundi ya muqawama ya Palestina na Lebanon.
-
ٌWanajeshi 110 wa Israel wameangamizwa tangu Tel Aviv ianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon
Nov 21, 2024 00:18Idara yha Oparesheni ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon imetangaza kuwa, hadi sasa wanajeshi 110 wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa na wengine 1,050 kujeruhiwa tangu jeshi la Iutawala huol lilianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon, Oktoba Mosi mwaka huu.
-
Karibu watoto wote huko Gaza wanasumbuliwa na athari za kisaikolojia za vita
Nov 21, 2024 00:16Madhara ya afya ya akili ya vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza yanaweza kuonekana miongoni mwa watoto katika eneo lote hilo la Palestina.
-
UNICEF: Kimya cha Jamii ya Kimataifa kinayafanya mauaji ya watoto wa Ghaza na Lebanon yaonekane jambo la kawaida
Nov 20, 2024 00:07Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) amekosoa kimya cha Jamii ya Kimataifa kinachoyafanya mauaji ya watoto katika Ukanda wa Ghaza na Lebanon yaonekane jambo la kawaida.
-
UNRWA: Hakuna taasisi yoyote inayoweza kujaza nafasi yetu Ghaza
Nov 19, 2024 07:40Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuwa, hakuna taasisi yoyote inayoweza kujaza nafasi ya shirika hilo katika kuwahudumia na kuwafikishia misaada wakazi wa Ghaza.
-
Onyo la duru za kiusalama za Israel kwa Netanyahu
Nov 19, 2024 04:13Duru za usalama za utawala wa Kizayuni zimemtumia ripoti waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netnyahu, na kumuonya kuhusu nguvu za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na wajibu wa kutodharau nguvu hizo.
-
Hizbullah yashambulia Tel Aviv kwa makombora ya balestiki
Nov 19, 2024 02:53Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon inaendelea kutumia mkakati wake wa kujihami wa "Moto Kwa Moto, Beirut kwa Tel Aviv" katika kukabiliana na hujuma za kinyama za utawala katili wa Israel dhidi ya Lebanon.