-
Aliyekuwa mateka wa HAMAS 'avisuta' vyombo vya habari vya Israel: Sikupigwa wala kukatwa nywele Ghaza
Aug 24, 2024 06:08Noa Argamani, mwanamke wa Kiisraeli aliyeachiliwa hivi karibuni baada ya kushikiliwa mateka katika Ukanda wa Ghaza tangu Oktoba 7, 2023 amekadhibisha taarifa za upotoshaji zilizotolewa na vyombo vya habari vya Israel na kusisitiza kuwa hakupigwa wala hakukatwa nywele alipokuwa anashikiliwa na Wanamuqawama wa Palestina.
-
UN: Mauaji ya kimbari ya Israel yamepelekea asilimia 90 ya wakazi wa Gaza kuhama
Aug 24, 2024 03:21Jeshi la Israel limewalazimisha Wapalestina 250,000 waliokimbia makazi yao kuhama tena na kuondoka katika maeneo waliokimbilia mwezi huu. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu.
-
Jinai za Israel zasababisha kesi ya kwanza ya polio Gaza baada ya miaka 25
Aug 24, 2024 03:03Utawala katili wa Israel unaendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Gaza ambapo pia umezuia ufikishaji, usambazaji na utoaji wa chanjo dhidi ya polio katika eneo hilo jambo ambalo limepelekea kuibuka kwa ugonjwa wa kupooza wa poli katika eneo hilo la Wapalestina.
-
Hizbullah yakitwanga makombora kituo cha anga cha Israel, yateketeza mitambo ya ujasusi
Aug 23, 2024 23:05Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imekishambulia kwa makombora kadhaa kituo cha uongozaji wa shughuli za anga cha Meron cha utawala wa Kizayuni wa Israel na kubomoa mitambo ya ujasusi ya kituo hicho.
-
Askari 695 wa Israel wameangamizwa, 4,357 wamejeruhiwa tangu vilipoanza vita vya Ghaza
Aug 23, 2024 23:04Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa askari 695 wa utawala huo wameangamizwa tangu jeshi la utawala huo katili lilipoanzisha vita dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza na kupambana na vikosi vya Muqawama wa Palestina.
-
Jeshi la Yemen lashambulia meli zenye uhusiano na Israel katika Bahari Nyekundu, Ghuba ya Aden
Aug 23, 2024 06:50Msemaji wa Jeshi la Yemen anasema vikosi vya wanamaji vya nchi hiyo vimefanya mashambulizi tofauti dhidi ya meli mbili zenye uhusiano na utawala haramu Israel kama sehemu ya kampeni ya baharini ya kuwaunga mkono Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Yemen: Israel inaendeleza uhalifu wa karne huko Ghaza kwa kushirikiana na nchi za Magharibi
Aug 23, 2024 03:04Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa Marekani na nchi za Magharibi zinashirikiana kikamilifu na utawala wa Kizayuni katika jinai zake za karne na mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ghaza.
-
Jenerali mstaafu: Utawala wa Kizayuni wa Israel utasambaratika katika kipindi cha chini ya mwaka mmoja
Aug 22, 2024 23:26Jenerali mmoja mstaafu wa jeshi la Kizayuni aametabiri kwamba iwapo vita baina ya Israel na muqawama vitaendelea, basi utawala huo utasambaratika katika kipindi cha chini ya mwaka mmoja.
-
UNRWA yatahadharisha kuhusu vifo vya raia katika Ukanda wa Gaza
Aug 22, 2024 08:26Afisa mmoja wa UNRWA ametahadharisha kuhusu kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kusema: Vifo ni hatima pekee inayowakabili watu wa Gaza na kuwa hakuna njia nyingine ya kuepuka jinai zisizo na kikomo za utawala huo.
-
Hamas: Mauaji ya raia wa Palestina katika shule ya Salahuddin ni muendelezo wa mauaji ya kimbari
Aug 22, 2024 08:20Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika shule ya Salahuddin magharibi mwa mji wa Gaza ni muendelezo wa oparesheni za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.