-
Wazayuni nusu milioni wa Israel wamekimbilia nje tangu kuanza vita vya Gaza
Jun 24, 2024 05:02Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Idadi ya Watu na Uhamiaji ya Israeli zimefichua kwamba zaidi ya Waisraeli nusu milioni wamekimbilia nje na hawajarejea tangu kuanza vita vya utawala huo kwenye Ukanda wa Gaza, mnamo Oktoba 7 mwaka jana.
-
Wakazi wa utawala wa Kizayuni waitisha mgomo mkubwa hadi Netanyahu aanguke
Jun 24, 2024 03:22Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limetangaza habari ya kuitishwa mgomo mkubwa zaidi wa maeneo yote ya utawala wa Kizayuni hadi serikali ya Benjamin Netanyahu itakapopigwa na chini.
-
Saudi Arabia yatangaza idadi ya mwisho ya vifo vya mahujaji katika Hija ya mwaka huu
Jun 24, 2024 00:07Saudi Arabia imetangaza kwamba zaidi ya mahujaji 1,300 walifariki dunia wakati wa amali za ibada ya Hija zilizoambatana na wimbi la joto kali mwaka huu.
-
Walimwengu waendelea kuandamana kuunga mkono Palestina
Jun 23, 2024 23:55Maandamano ya kuunga mkono Palestina na kulaani jinai za Israel huko Gaza yameendelea kufanyika katika mataifa mbalimbali hususan barani Ulaya.
-
Harakati za muqawama za Yemen na Iraq zapiga kwa pamoja meli za Wazayuni katika bandari ya Haifa
Jun 23, 2024 07:43Msemaji wa Jeshi la Yemen ametangaza leo Jumapili kwamba vikosi vya nchi hiyo kwa kushirikiana na vikosi vya muqawama wa Kiislamu vya Iraq vimelenga meli tano katika bandari ya Haifa na Bahari ya Mediterania katika operesheni ya pamoja.
-
Hamas yapinga kufikia makubaliano yoyote na Israel bila ya kusimamishwa vita Ukanda wa Gaza
Jun 23, 2024 04:13Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa haikubali makubaliano yoyote kati yake na utawala wa Israel unaotekeleza mauaji ya kimbari pasina kusimamisha vita huko Ukanda wa Gaza.
-
Jibu la Hizbullah litaurejesha utawala wa Israel katika Zama za Mawe
Jun 23, 2024 04:07Kituo cha Taarifa za Vita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa, shambulio kali la harakati hiyo ya muqawama dhidi ya vituo nyeti vya utawala wa Kizayuni, ambavyo vinajulikana tu na vyombo vya usalama vya utawala huo, litairejesha Israel katika zama za mawe.
-
Jeshi la Yemen lashambulia manowari ya US kwa makombora
Jun 23, 2024 00:01Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimefanya shambulio jipya la makombora dhidi ya meli ya kivita ya Marekani katika Bahari Nyekundu.
-
Jenerali Mzayuni: Kutangaza vita na Hizbullah ni kujiua kwa umati Israel
Jun 22, 2024 23:17Jenerali mmoja mstaafu wa jeshi la utawala wa Kizayuni ameonya vikali kuhusu kutangaza vita dhidi ya Hizbullah ya Lebanon na amekichukulia kitendo hicho kuwa ni kujiangamiza kwa umati utawala huo.
-
Sababu na matokeo ya kufunguliwa ofisi ya kisiasa ya Hamas nchini Iraq
Jun 22, 2024 23:14Ofisi ya masuala ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas hivi karibuni imefunguliwa kwa njia isiyo rasmi huko Baghdad na imepangwa kufunguliwa rasmi katika siku chache zijazo.