-
Njama za utawala wa Kizayuni za kuzusha mgogoro wa kibinadamu Rafah
May 10, 2024 07:26Katika kuendeleza jinai zake utawala wa Kizayuni umepanga kuzusha mgogoro wa kibinadamu huko Rafah.
-
Al Houthi: Yemen italenga meli zenye uhusiano na Israel bila kujali zinakoenda
May 10, 2024 06:40Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdul Malik al-Houthi, amesema vikosi vya jeshi la nchi hiyo vitalenga meli za kampuni yoyote inayohusiana na kusambaza au kusafirisha bidhaa hadi Israel bila kujali zinakoelekea.
-
Muqawama wa Iraq washambulia maeneo ya kistratajia ya Israel, Eilat
May 10, 2024 03:54Harakati ya Kiislamu ya Iraq imetangaza kuwa imeshambulia maeneo ya kistratajia ya Israel katika mji wa Eilat, ulioko kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Yemen yashambulia meli 3 za Waisraeli katika Ghuba ya Aden, Bahari ya Hindi
May 09, 2024 22:39Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya jeshi la majini, anga na makombora vya nchi hiyo vimezishambulia meli tatu zenye uhusiano na Israel kama sehemu ya kampeni ya baharini ya kuwaunga mkono na kuwatetea Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Kaburi jingine la umati lafukuliwa huko Gaza, "miili isiyo na vichwa yapatikana"
May 09, 2024 03:56Wahudumu wa afya kaskazini mwa Gaza wametoaa miili mingine katika kaburi jingine la umati katika Hospitali ya Shifa. Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya vyombo vya habari huko Ukanda wa Gaza. taarifa hiyo imeongeza kuwa miili hiyo iliyotolewa katika kaburi la umati imekutwa bila ya vichwa.
-
MSF: Kufunga kivuko cha Rafah kutaifanya hali ya Gaza kuwa mbaya zaidi
May 09, 2024 03:51Mkuu wa timu ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) ametahadharisha kuwa mazingira ya kuidhaminia Gaza maji safi, chakula na dawa za matibabu yamefika marhala hatari na kwamba hatua ya kukifunga kivuko cha Rafah kunaifanya hali ya wakazi wa ukanda huo kuwa mbaya zaidi.
-
Kuthibitishwa ukweli wa utawala wa Kizayuni kutoweza kujilinda; matokeo muhimu ya vita vya Gaza
May 09, 2024 03:35Wachambuzi wa masuala ya uhusiano wa kimataifa wanaamini kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kujilinda bila ya msaada wa Marekani, na udhaifu wake katika uwanja huo umefichuka na kuanikwa peupe.
-
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Rafah: Sababu na matokeo yake
May 08, 2024 22:54Katika hali ambayo Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kukubaliana na mpango wa usitishaji vita wa Misri na Qatar, utawala wa Kizayuni wa Israel umezidisha mashambulizi makali dhidi ya mji wa Rafah huko Ukanda wa Gaza.
-
Misri: Jamii ya kimataifa imeshindwa kuzuia mashambulizi ya Israel katika mji wa Rafah
May 08, 2024 08:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa jamii ya kimataifa imeshindwa kuzuia mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza. Sameh Shukry ameeleza haya katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Ufaransa katika Masuala ya Lebanon.
-
Kujiweka tayari Wayemen kwa ajili ya kuuzingira utawala wa Kizayuni baharini
May 08, 2024 04:43Tovuti ya habari ya Ansarullah ya Yemen imeripoti kuwa, jeshi la nchi hiyo limeanza kuratibu operesheni ya pili ya awamu ya nne ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni sambamba na kuanza mashambulizi ya utawala ghasibu wa Kizayuni katika mji wa Rafah.