-
Vikosi vya Yemen vyashambulia meli za Uingereza, Israel, meli za kijeshi za Marekani katika Bahari ya Sham
Apr 08, 2024 02:24Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya wanamaji vya nchi hiyo vimefanya operesheni nyingi dhidi ya meli za kibiashara za Uingereza na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kwa nini jamii ya kimataifa imeshindwa kuzuia mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Apr 08, 2024 01:05Kutokuwa na uwezo jamii ya kimataifa wa kusimamisha mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza kumekosolewa vikali kimataifa.
-
Miezi sita ya mashambulizi ya kimbari ya utawala wa Israel huko Gaza
Apr 07, 2024 08:53Vita vya mauaji ya kimbari vya utawala wa Israel dhidi ya Gaza vilivyoanzishwa tarehe 7 Oktoba mwaka jana, vimekamilisha miezi sita leo huku kukiwa na makumi ya maelefu ya Wapalestina waliouawa na jinai kubwa kutendeka dhidi yao katika hali ambayo wamelazimika kuyahama makazi yao na njaa ikiwa inatumiwa na utala huo kama silaha ya vita.
-
Wanamuqawama wa Iraq washambulia eneo muhimu la Israel katika kuunga mkono Gaza
Apr 07, 2024 08:38Harakati ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) nchini Iraq imetekeleza kwa mafanikio shambulio la ndege zisizo na rubani dhidi ya maeneo ya kistratijia katika sehemu ya kusini kabisa ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel. Hujuma hiyo imetekelezwa ili kukabiliana na mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza.
-
Wapiganaji wa HAMAS waangamiza askari na maafisa 14 wa jeshi la Israel katika muda wa saa chache
Apr 07, 2024 03:34Wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS wamewaangamiza askari na maafisa 14 wa jeshi la Israel katika muda wa saa chache, baada ya kuwashambulia wanajeshi walioko kusini mwa Ukanda wa Ghaza unaohimili vita vya kinyama vya mauaji ya kimbari yanayoendelezwa na jeshi hilo la Kizayuni katika eneo hilo.
-
Mashinikizo ya kusitisha uuzaji silaha kwa Israel yaongezeka katika nchi za Magharibi
Apr 06, 2024 23:28Wabunge na maafisa wa serikali za nchi za Magharibi wanaendelea kutoa wito wa kusitishwa uuzaji wa silaha kwa Israel kutokana na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza kwa muda wa miezi 6, ambayo hadi sasa yameua shahidi Wapalestina zaidi ya 33,000 na kujeruhi wengine zaidi 75,000 tangu Oktoba 7 mwaka jana.
-
Kiwewe cha Wazayuni wakisubiri jibu la kijeshi la Iran kutokana na jinai zao
Apr 06, 2024 22:56Utawala wa Kizayuni umesema una wasiwasi na jibu liltakalotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia jinai za karibuni iliyofanywa na utawala huo ya kuishambulia sehemu ya jengo la ubalozi dogo wa Iran huko Syria. Kwa kuhofia jibu la kijeshi la Iran, utawala wa Kizayuni umetoa amri ya kufungwa balozi zake katika maeneo mbalimbali duniani.
-
Mbali na jinai nyinginezo, Israel inawashikilia mamia ya watoto wa Palestina kwenye jela za kutisha
Apr 06, 2024 07:04Klabu wa Mateka wa Palestina imesema kuwa, mbali na jinai zake nyinginezo nyingi zisizo na mfano, utawala wa Kizayuni unawashikilia mamia ya watoto wadogo wa Palestina katika jela zake za kuogofya.
-
Nasrullah: Muqawama utapata 'ushindi mkubwa' katika vita dhidi ya Israel
Apr 06, 2024 03:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema mhimili wa muqawama una uhakika wa kupata "ushindi mkubwa" katika vita vyake vinavyoendelea dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
UNRWA: Asilimia 62 ya nyumba Gaza zimeharibiwa katika mashambulizi ya Israel
Apr 06, 2024 03:24Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina limesema, vita vinavyoendelea vya Israel dhidi ya Gaza vimeacha zaidi ya asilimia 60 ya nyumba katika eneo hilo lililozingirwa ama kuharibiwa au kubomolewa kikamilifu.