-
Mmarekani ambaye hana uraia wa Israel akiri kuua watu katika vita huko Gaza
Apr 24, 2024 04:10Sami Benn, Myahudi raia wa Marekani, amekiri kwamba umeshiriki katika vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza kwa muda wa miezi miwili na kuua Wapalestina, bega kwa bega na jeshi la Israel.
-
Kwa mara ya kwanza, Hizbullah yashambulia ndani kabisa ya ngome za Wazayuni tangu vilipoanza vita vya Ghaza
Apr 23, 2024 23:14Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani dhidi ya vituo viwili vya kiejshi vya utawala wa Kizayuni wa Israel kulipiza kisasi cha mauaji ya wapiganaji wake wawili.
-
UN yatoa onyo kali kuhusu madhara ya vita kwa afya na akili za watu wa Gaza
Apr 23, 2024 05:02Umoja wa Mataifa (UN) umetahadharisha na kutoa onyo kali kabisa kuhusu madhara ya vita kwa afya na akili ya wakaazi wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa Al-Aqsa kutekeleza ibada za Pasaka
Apr 23, 2024 04:43Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) siku ya Jumatatu chini ya ulinzi mkali wa wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel ambao unakalia eneo hilo kwa mabavu.
-
OIC yataka uchunguzi ufanyike kuhusu ‘uhalifu wa kivita’ wa Israel huko Khan Yunis, Gaza
Apr 23, 2024 04:19Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu uhalifu wa kivita wa Israel katika Hospitali ya Nasser huko Gaza ambapo mamia ya miili ya raia imeopolewa kutoka kwenye makaburi ya umati.
-
Ndege za kivita za jeshi la Israel zashambulia makazi ya raia Ukanda wa Gaza
Apr 22, 2024 23:38Ndege za kivita za utawala haramu wa Kizayuni Israel jana zilishambulia kusini kwa Ukanda wa Gaza na kubomoa nyumba kadhaa za raia katikati mwa Gaza na shule moja katika kambi ya wakimbizi ya al Bureij.
-
Vita vya Israeli dhidi ya Ghaza: Mkuu wa jeshi la Intelijensia ajiuzulu kubeba lawama aa shambulio la Hamas
Apr 22, 2024 08:47Meja Jenerali Aharon Haliva, mkuu wa kitengo cha ujasusi cha kijeshi wa Israel, ametangaza kujiuzulu kwa sababu ya kushindwa kuzuia shambulio la kihistoria la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS la tarehe 7 Oktoba 2023.
-
Kamanda Mwandamizi: Israel imeshindwa na Muqawama Ghaza, viongozi watamatishe vita
Apr 22, 2024 02:54Yitzhak Barik, Jenerali mstaafu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa jeshi la utawala huo haramu limeshindwa na Muqawama wa Palestina katika vita vya Ukanda wa Ghaza na kutaka viongozi wa utawala huo watangaze utamatishaji wa vita hivyo.
-
Kataaib Hizbullah ya Iraq yaanzisha tena mashambulio dhidi ya askari wa Marekani
Apr 22, 2024 02:49Vikosi vya Muqawama wa Iraq vimetangaza kuwa, vimeanza tena kutekeleza operesheni za mashambulio dhidi ya vikosi vya majeshi ya Marekani.
-
Hizbullah yatungua ndege ya kivita isiyo na rubani ya Israel ya Hermes 450 kusini mwa Lebanon + VIDEO
Apr 22, 2024 01:01Harakati ya Mapamabano ya Kiislamu (Muqawama) ya Hizbullah ya Lebanon imesema wapiganaji wake wameiangusha ndege ya kisasa isiyo na rubani ya kivita na kijasusi ya utawala haramu wa Israel kusini mwa Lebanon baada ya kukiuka anga ya nchi hiyo.