-
Ansarullah: Operesheni za kushambulia meli zenye uhusiano na Israel zitapanuliwa hadi Bahari ya Hindi
Mar 15, 2024 04:11Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdul Malik Al-Houthi amesema askari wa jeshi la nchi hiyo wataendelea na operesheni zao za kujibu mapigo dhidi ya meli za kibiashara zenye uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kuzizuia meli hizo kupita hata kwenye eneo la maji ya Bahari ya Hindi na Rasi ya Tumaini Jema.
-
Abbas amkabidhi Mohammed Mustafa jukumu la kuunda Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina
Mar 14, 2024 23:49Rais Mahmoud Abbas wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amemteua Mohammed Mustafa kuwa Waziri Mkuu mpya na kumkabidhi jukumu la kuunda baraza jipya la mawaziri la serikali hiyo.
-
'Wapalestina ndio wataamua mustakbali wao baada ya vita vya Ghaza, si wavamizi'
Mar 14, 2024 23:18Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, wananchi wa Palestina ndio watakaoamua mustakbali wao baada ya vita vya Ghaza na hawatopangiwa mambo yao na Wazayuni wavamizi.
-
Baraza la Mawaziri la Israel linaelekea kusambaratika
Mar 14, 2024 08:41Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limefichua kwamba, duru za karibu na Baraza la Mawaziri la Israel zinasema kuwa, serikali hiyo inakariba kusambaratika kutokana na kushadidi hitilafu ndani ya baraza hilo.
-
Hali mbaya ya mateka wa Kipalestina katika jela za Kizayuni
Mar 14, 2024 03:07Katika taarifa yake, Klabu ya Mateka wa Palestina imetahadharisha kuhusu hali mbaya ya mateka hao wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa kibaguzi wa Israel.
-
Sayyid Nasrullah: Jeshi la Israel limechoka, litashindwa na muqawama
Mar 13, 2024 23:53Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel linaloendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wasio na ulinzi wa Ukanda wa Gaza limechoka, na hakuna shaka kwamba litashindwa na kambi ya muqawama hata likiamua kuuvamia mji wa Rafah.
-
Maandamano ya kuiunga mkono Palestina karibu na ubalozi wa utawala wa Kizayuni Jordan
Mar 13, 2024 23:04Maandamano ya kuinga mkono Palestina yamefanyika karibu na ubalozi wa utawala wa Kizayuni huko Amman mji mkuu wa Jordan.
-
HAMAS yakanusha madai ya kukubali pendekezo la usitishaji vita
Mar 13, 2024 04:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekadhibisha ripoti ya shirika la habari la al-Arabiya kwamba kundi hilo la muqawama limeafiki 'pendekezo la kimataifa' la usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Waisraeli 80,000 wakimbia makazi yao wakihofia makombora ya Hizbullah
Mar 13, 2024 04:14Makumi ya maelfu ya walowezi wa Kizayuni wamekimbia makazi yao katika maeneo ya kaskazini mwa Palestina yaliyopachikwa jinai bandia la Israel, wakihofia mashambulizi ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Mamia ya walowezi wa Kiyahudi wauvamia Msikiti wa Al-Aqsa huku wakilindwa na askari wa Israel
Mar 12, 2024 23:17Mamia ya walowezi wa Kiyahudi jana Jumanne walivamia tena eneo la Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Baitul-Muqaddas Mashariki unaokaliwa kwa mabavu huku wakisindikizwa na kulindwa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanaoendelea kuchukua hatua kali za kuwawekea mipaka Wapalestina ya kuingia kwenye msikiti huo.