-
Mashambulizi makubwa ya makombora kutoka Lebanon yazilenga ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel)
Feb 14, 2024 23:01Duru za habari zimetangaza kuwa mashambulizi makubwa ya makombora kutoka upande wa kusini mwa Lebanon yalifanyika katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za palestina jana Jumatano.
-
OIC yatahadharisha kuhusu mashambulizi ya Israel eneo la Rafah
Feb 14, 2024 08:23Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi la Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na upanuzi wa mashambulizi ya kiholela ya utawala huo kwenye mji wa Rafah, kusini mwa ukanda huo.
-
Abdollahian aonana na Haniya, asema Wapalestina hawataburuzwa na maajinabi
Feb 14, 2024 04:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Wapalestina kamwe hawatakubali kuburuzwa na nchi za kigeni na kusisitiza kuwa, hatima ya taifa la Palestina ipo mikononi mwa Wapalestina wenyewe.
-
Nasrullah: Chimbuko la nguvu za muqawama ni Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 14, 2024 04:04Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelipongeza na kulishukuru Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kwa kuiunga mkono kambi ya muqawama katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Netanyahu apinga pendekezo la kufikia makubaliano na HAMAS
Feb 14, 2024 04:04Waziri Mkuu wa Israel amepuuzilia mbali pendekezo la mashirika ya kijasusi ya Mossad na Shin Bet ya utawala huo wa Kizayuni juu ya kufikia mapatano ya kubadilishana wafungwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS).
-
'Uhalifu Dhidi ya Ubinadamu': Israel inawatesa na kuwanyanyasa mateka Wapalestina
Feb 13, 2024 23:17Kundi la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu mjini Geneva, limesema kwamba vikosi vya utawala haramu wa Israel vimewaruhusu walowezi wa Kizayuni kushuhudia mateso na udhalilishaji wa Wapalestina waliokuwa wakizuiliwa kutoka Ukanda wa Gaza wakati huu utawala huo unapoendeleza vita vya mauaji ya kimbari katika eneo hilo.
-
Ripota Maalumu wa UN aikosoa Israel kwa kumzuia kuingia katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina
Feb 13, 2024 09:07Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa ameishambulia vikali Israel kwa kumzuia kuingia katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel).
-
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa Pakistan
Feb 13, 2024 03:48Tume ya Uchaguzi ya Pakistani imetangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa bunge nchini humo, na wagombea huru wenye mfungamano na chama cha Tehreek-e-Insaf cha Imran Khan wamenyakua viti 101.
-
Viongozi wa Muqawama: Vita vya Ghaza si vita vya mwisho na Wazayuni
Feb 12, 2024 22:58Viongozi wa makundi mbalimbali ya muqawama wa Palestina wameonana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Damascus Syria na kusisitiza kuwa, mapambano ya taifa la Palestina tangu Wazayuni walipovamia ardhi za taifa hilo zaidi ya miaka 75 iliyopita, vimekuwepo na vitaendelea hadi kila shibri ya ardhi ya Palestina itakapokombolewa.
-
Mapitio ya safari ya kieneo ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran
Feb 12, 2024 22:55Sambamba na kuendelea kutokota mgogoro katika eneo la Asia Magharibi na kuendelea mauaji ya halaiki ya Wazayuni maghasibu huko Gaza Palestina, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya safari katika mataifa ya Lebanon na Syria.