-
Marekani, mwanzishaji na msababishaji halisi wa kuvurugika amani na usalama katika Bahari Nyekundu
Feb 07, 2024 03:30Makundi ya Muqawama na nchi zenye misimamo huru katika Asia Magharibi zinaendelea kukabiliana na Mhimili wa Uovu wa Marekani na Israel katika eneo hilo na Bahari Nyekundu katika hali ambayo, kwa kuendeleza uingiliaji wao wa kijeshi, Washington na waitifaki wake wamekuwa ndio waanzishaji na wasababishaji halisi wa kuvurugika amani na usalama katika eneo hilo la Asia Magharibi.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yapinga vikali kuvunjwa UNRWA
Feb 07, 2024 02:33Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amepinga mpango wowote wa kuvunjwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) akisema hatua hiyo ni makosa ya kimaadili na kiusalama.
-
Wanasheria wa Jordan wafungua mashtaka dhidi viongozi wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu
Feb 07, 2024 02:32Katika hatua ya aina yake, Jumuiya ya Wanasheria wa Jordan imetangaza kuwa imewasilisha ripoti kwa Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), ikishirikiana na wanasheria Waarabu na mashirika ya kutetea haki za binadamu, na kwa ushirikiano na wakili wa Ufaransa Gilles Defer, dhidi ya viongozi na watu binafsi uutawala ghasibu wa Israel kwa kufanya uhalifu wa mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Qatar: Hamas imetoa jibu chanya kwa mpango wa Gaza wa kufikia mapatano ya kusitisha vita
Feb 07, 2024 02:26Waziri Mkuu wa Qatar amesema Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa "jibu chanya" kuhusiana na uwezekano wa kufikia usitishaji vita mpya katika Ukanda wa Gaza na kubadilishana mateka kati yake na utawala wa Israel.
-
UNICEF: Wapalestina zaidi ya milioni moja wanatangatanga majiani Rafah, kusini mwa Gaza
Feb 07, 2024 00:19Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa zaidi ya Wapalestina milioni moja wanatangatanga bila makazi katika mitaa ya Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Vikosi vya Yemen vyashambulia 'kwa mafanikio' meli za US na UK
Feb 06, 2024 09:13Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Yemen amesema vikosi vya baharini vya nchi hiyo vimeshambulia kwa makombora meli za Marekani na Uingereza katika pwani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
UNRWA: Wapalestina 100,000 wameuawa, kujeruhiwa au kutoweka huko Gaza
Feb 06, 2024 04:45Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuwa karibu asilimia tano ya wakazi wa Ukanda wa Gaza ama wameuawa au kujeruhiwa au wametoweka.
-
Duru za Wazayuni: Nasrullah ndiye kiongozi shupavu zaidi wa Ulimwengu wa Kiarabu
Feb 06, 2024 04:43Wazayuni wanakiri kwamba, Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah, ni kiongozi shupavu na mwenye nguvu zaidi katika Ulimwengu wa Kiarabu na Magharibi mwa Asia.
-
Uhispania kuipatia UNRWA msaada wa dharura wa dola milioni 3.8
Feb 05, 2024 23:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania alitangaza jana Jumatatu kwamba nchi yake itatuma euro milioni 3.5 sawa na dola za Kimarekani milioni 3.8 kama msaada wa dharura kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA).
-
Sana'a: Marekani ni tishio la kwanza kwa meli katika Bahari Nyekundu
Feb 05, 2024 23:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imepongea msimamo wa Saudi Arabia kuhusu Bahari Nyekundu na kusema, Marekani ndio tishio la kwanza na pekee la usalama wa safari za meli.