-
Al-Azhar: Adui Mzayuni ni mbwa mwitu mkali aliyepatwa na kichaa cha kuua
Nov 01, 2023 04:40Taasisi ya kidini ya Al-Azhar nchini Misri imetangaza kuwa: “Adui Mzayuni amegeuka na kuwa mbwa mwitu mkali na mwenye kiu ya kuua watoto, wanawake na watu wasio na hatia, na kufurahia kula nyama zao na kunywa damu zao bila ya kizuizi chochote.
-
Oman yataka Israel ibebeshwe dhima kwa jinai zake huko Gaza
Oct 31, 2023 23:32Oman imeitaka jamii ya kimataifa iibebeshe dhima Israel kwa jinai zake za kutisha katika Ukanda wa Gaza, na pia dunia ichukue hatua za dharura za kukomesha mauaji ya halaiki ya Wapalestina wasio na hatia.
-
Ansarullah ya Yemen yafanya shambulizi la droni dhidi ya Israel
Oct 31, 2023 23:31Harakati ya Ansarullah ya Yemen imefanya mashambulizi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani.
-
Mgawanyiko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu; Netanyahu akiri kushindwa vyombo vya usalama na ujasusi
Oct 31, 2023 23:30Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amefuta katika mtandao wa kijamii wa X ujumbe aliokuwa ameuandika akiashiria kushindwa vyombo vya usalama vya utawala huo kutabiri na kufuatilia shambulio la operesheni ya Kimbunga cha al- Aqsa iliyotekelezwa na wapiganaji shupavu wa Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Palestina Hamas.
-
Shambulizi la Israel dhidi ya kambi ya wakimbizi Jabalia laua Wapalestina 200
Oct 31, 2023 12:06Mamia ya Wapalestina wameuawa shahidi katika shambulizi la utawala wa Kizayuni wa Israel lililolenga kambi ya wakimbizi ya Jabalia katika Ukanda wa Gaza.
-
Ripoti ya UNICEF kwa Baraza la Usalama: Hali ya Ukanda wa Gaza ni mbaya mno
Oct 31, 2023 08:09Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF amewasilisha ripoti kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu hali mbaya na isiyo ya kibinadamu ya watoto katika Ukanda wa Gaza, kutokana na mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni.
-
Operesheni ya mauaji ya kimbari ya Israel huko Ghaza
Oct 31, 2023 05:30Katika muendelezo wa mashambulizi ya kikatili ya vikosi vya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya Ukanda wa Ghaza, misikiti na hospitali za eneo hilo bado ni shabaha ya makusudi ya mashambulizi hayo.
-
Israel imedondosha zaidi ya tani 18,000 za mabomu huko Ghaza
Oct 31, 2023 03:38Maafisa wa Palestina katika Ukanda wa Ghaza wanasema utawala wa Israel umedondosha karibu tani 20,000 za mabomu ya mauaji katika eneo hilo tokea kuanza vita vyake vya uchokozi dhidi ya wakazi wa ukanda huo.
-
Kuongezeka changamoto za kiuchumi kwa utawala wa Kizayuni kufuatia kuendelea vita vya Gaza
Oct 31, 2023 01:41Kimbunga cha Al Asqa na vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza vimekuwa na taathira mbalimbali ambapo moja ya taathira kuu za vita hivyo ni kuongezeka changamoto za kiuchumi kwa utawala huo.
-
Watoto waliouawa Gaza katika wiki 3 ni wengi kuliko migogoro yote ya kimataifa kila mwaka tangu 2019
Oct 30, 2023 23:41Takwimu zilizoripotiwa na shirika la misaada la Save the Children zinaonyesha idadi ya watoto waliouawa katika Ukanda wa Gaza kutokana na uvamizi unaoendelea wa Israel imepita takwimu za kila mwaka zinazohusiana na migogoro ya kimataifa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.