-
Maelfu kwa maelfu ya Wapalestina wasali Sala ya Ijumaa katika msikiti wa Al-Aqsa
Sep 01, 2023 23:53Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Ijumaa ya jana iliyosaliwa kwenye Msikiti wa Al-Aqsa mjini Baitul Muqaddas licha ya kuwekewa vizuizi na kukabiliwa na hatua kali za kiusalama zilizochukuliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mji huo unaoukalia kwa mabavu.
-
Hamas yapongeza msimamo wa Libya wa kupinga uhusiano na utawala haramu wa Israel
Sep 01, 2023 23:15Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati ya Hamas ameshukuru na kuthamini msimamo rasmi wa Libya wa kupinga suala la kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Jenerali Mzayuni: Jeshi la Israel yumkini litaporomoka katika vita vijavyo
Aug 31, 2023 23:35Meja Jenerali mstaafu wa Israel ameonya juu ya uwezekano wa kuangamia jeshi la utawala huo haramu iwapo litajitosa katika vita vipya.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 30, 2023 22:59Katika hatua zao zisizokoma, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Mama wa wafungwa wa kisiasa Bahrain wajiunga na kampeni ya watoto wao ya kususia kula
Aug 30, 2023 09:59Baadhi ya akina mama wa wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain wameanza mgomo wa kususia kula wakipinga hali mbaya ya magereza na kuwaunga mkono watoto wao.
-
Nyufa mpya katika uhusiano wa Saudi na Marekani
Aug 30, 2023 05:01Ahmad Kazemzadeh wa gazeti la Financial Times ameandika, akinukuu vyanzo vya habari, kwamba Saudi Arabia, ambayo haikufurahishwa na masharti yaliyotolewa na Marekani kwa ajili ujenzi wa kinu cha nyuklia nchini humo, inachunguza mapendekezo ya China, Russia na Ufaransa ya kujenga kinu cha nyuklia nchini Saudia.
-
Ripoti: Saudia inairubuni Palestina kwa fedha ili ikubali uhusiano na Israel
Aug 30, 2023 04:44Maafisa wa Saudi Arabia wameripotiwa wakisema kuwa, Riyadh ipo tayari kuanza tena kuipa Mamlaka ya Ndani ya Palestina msaada wa kifedha, mkabala wa kupata uungaji mkono wa Ramallah katika juhudi zake za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Mzingiro dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Sana'a unaua wagonjwa 30 kwa siku
Aug 30, 2023 04:31Wagonjwa wasiopungua 30 wanaaga dunia kila siku nchini Yemen kutokana na mzingiro dhidi ya Uwaja wa Kimataifa wa Ndege wa Sana'a.
-
Amnesty yalaani uamuzi wa Israel kwa kumuadhibu mtoto wa Kipalestina kwa kitendo ambacho hakufanya
Aug 29, 2023 22:57Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani uamuzi wa mahakama ya Israel wa kubomoa nyumba ya familia ya mvulana Mpalestina mwenye umri wa miaka 13 ambaye amekuwa kizuizini kwa muda wa miezi sita iliyopita kwa "mashtaka yasiyo ya haki" kwa kitendo ambacho hakukifanya.
-
IOM: Idadi ya wahamiaji wanawake wa Kiafrika kwenda nchi za Ghuba ya Uajemi yaongezeka
Aug 29, 2023 22:57Idadi ya wahajiri wa kike kutoka nchi za eneo la Pembe ya Afrika kuelekea nchi za Ghuba ya Uajemi imeripotiwa kuongezeka kwa kasi.