-
Kuchukiwa utawala haramu wa Israel na wananchi wa ulimwengu wa Kiarabu
Aug 29, 2023 05:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Libya, Najla al Mangoush amekimbilia Uturuki baada ya Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya kumsimamisha kazi kwa kosa la kuonana na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala wa Kizayuni nchini Italia.
-
Nchi 65 zashiriki kongamano la kuiunga mkono Palestina katika mji mtakatifu wa Karbala, Iraq
Aug 29, 2023 03:25Mkutano wa kimataifa wenye anuani ya Wito wa Al-Aqsa umefanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq, kwa kuhudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 65 duniani.
-
Nasrullah aionya Israel: Mauaji yoyote yatakayofanywa ndani ya ardhi ya Lebanon yatakabiliwa na jibu kali
Aug 28, 2023 23:59Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amewaonya viongozi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwamba mauaji yoyote yatakayofanywa ndani ya ardhi ya Lebanon ya kumlenga raia wa Lebanon, Palestina au Iran au raia wa nchi nyingineyo hayatapita bila ya jibu.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 28, 2023 23:16Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Muqawama wa Palestina wawapongeza wananchi wa Libya
Aug 28, 2023 23:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa shukrani rasmi kwa wananchi wa LIbya kwa hatua yao ya kuonesha msimamo imara wa kulaani hatua ya waziri wa mambo ya nje wa Libya ya kuonana na waziri wa mambo ya nje wa Israel.
-
Jihadul Islami yalaani mkutano wa Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Libya na Israel
Aug 28, 2023 07:46Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imetoa taarifa ikilaani hatua ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Libya ya kukutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa utawala ghasibu wa Israel.
-
Kitanzi cha mkanganyo kinacholisokota jeshi na serikali ya Israel Ufukwe wa Magharibi
Aug 28, 2023 05:35Muqawama wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan siku hizi ndio uliogonga vichwa vya habari vya vyombo vya habari vya Kiebrania huku Wazayuni wakihisi wanakabiliwa na hali ya kutisha kutokana na kupanuka kwa muqawama na mapambano dhidi yao katika eneo hilo.
-
Hamas yaionya vikali Israel kwamba itashindwa vibaya ikianzisha vita
Aug 28, 2023 01:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa "utashindwa kwa namna ambayo haijawahi kushuhudiwa" iwapo utaanzisha "vita vya pande zote" katika eneo.
-
Waziri Mkuu wa Israel atoa vitisho vya kumuua Naibu wa Kiongozi wa HAMAS
Aug 27, 2023 10:02Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ametoa vitisho vya kumuua mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS na kukiri pia kwamba sasa hivi utawala huo unapita katika kipindi kigumu.
-
Kikosi maalumu cha jeshi la Uingereza kinajenga kituo cha kijeshi mkoani Hadhramaut, Yemen
Aug 27, 2023 02:30Vyanzo vya kuaminika vya Yemen vimetangaza kuwa vikosi maalumu vya jeshi la Uingereza vinahusika na ujenzi wa kituo cha kijeshi katika mkoa wa Hadhramaut ulioko mashariki mwa Yemen.