-
Kuwait yakaribisha hatua ya Denmark dhidi ya wanayoivunjia heshima Qur'ani
Aug 26, 2023 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait amekaribisha uamuzi uliochukuliwa na Denmark kuhusu vitendo vya kuivunjia heshima Qur'ani tukufu.
-
Askari 11,000 wa al Hashd al Shaabi kulinda usalama wa wafanyaziara ya Arubaini nchini Iraq
Aug 26, 2023 08:29Harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la al Hashd al Shaabi imesisitiza kuwa iko tayari kushirikiana na taasisi nyingine za usalama za nchi hiyo kulinda usalama wa Waislamu wakati wa ziara ya Arubaini ya Imam Husain AS na kusisitiza kuwa, askari wake 11,000 watashiriki kwenye zoezi hilo.
-
Umoja wa Ulaya walaani vikali matamshi ya waziri wa Israel
Aug 25, 2023 23:28Umoja wa Ulaya umelaani vikali matamshi yaliyotolewa na waziri mwenye misimamo mikali wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na uhuru wa harakati za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jihad Islami: Kukamatwa na mauaji ya kigaidi havizuii mapambano ya ukombozi
Aug 25, 2023 04:30Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesisitiza kuwa kukamatwa, ukandamizaji na mauaji ya kigaidi haviwezi kuzima moto wa mapambano ya ukombozi wa Palestina.
-
Zaidi ya Waandishi wa habari wa kigeni 600 kuakisi matembezi ya Arbaeen nchini Iraq
Aug 24, 2023 07:54Zaidi ya waandishi wa habari 600 kutoka nchi mbalimbali wataangazia matukio yanayohusiana na matembezi ya kila mwaka ya Arbaeen nchini Iraq.
-
Kata'ib Hizbullah: Tutasambaratisha 'miradi ya US' Asia Magharibi
Aug 24, 2023 04:02Harakati ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imeionya vikali Marekani na kusema kuwa itasambaratisha miradi ya Washington katika eneo la Asia Magharibi.
-
Walowezi wa Kizayuni na mbunge wa zamani wa Israel wauvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa
Aug 23, 2023 23:04Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wakiwa pamoja na Mbunge wa zamani wa Bunge la Israel wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.
-
Athari haribifu za kisaikolojia kwa wasichana wanaozuiwa kuendelea na masomo nchini Afghanistan
Aug 23, 2023 23:02Madaktari wa masuala ya akili na saikolojia nchini Afghanistan wametoa tamko la kutisha linaloonesha ongezeko la wagonjwa wa akili hasa kati ya wasichana na uchunguzi wa madaktari hao unaonesha kuwa, kuzuiwa wasichana kuendelea na masomo kunachangia sana hali yao mbaya ya kisaikolojia, kujiona duni na kukata tamaa na msongo wa mawazo nchini humo.
-
Hizbullah: Utawala wa Kizayuni lazima ufutwe katika eneo
Aug 23, 2023 06:50Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria hatari ya utawala wa Kizayuni kwa jamii ya mwanadamu na kusisitiza kuwa, utawala huo haramu unapaswa kufutwa katika uso wa eneo la Asia Magharibi.
-
UN: Ripoti za mauaji ya mamia ya wahajiri wa Kiafrika huko Saudi Arabia zinatia wasiwasi
Aug 23, 2023 02:47Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa ripoti zinazohusiana na mauaji ya wahajiri wa Kiethiopia kwa kupigwa risasi na walinzi wa mipaka wa Saudi Arabia, zinatia wasiwasi na zina tuhuma nzito sana.