-
Kushindwa siasa za kibeberu za Marekani nchini Afghanistan
Aug 17, 2023 22:54Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imesema kuwa njama za wavamizi na madola ya kibeberu zitashindwa tu nchini humo.
-
UN: Israel imebomoa majengo 56 ya Wapalestina katika kipindi cha wiki mbili
Aug 17, 2023 07:44Takriban majengo 56 yanayomilikiwa na Wapalestina, zikiwemo nyumba sita, katika jiji la al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zimebomolewa au kutekwa na utawala ghasibu wa Israel katika muda wa wiki mbili.
-
Serikali ya Taliban yapiga marufuku vyama vyote vya siasa
Aug 17, 2023 03:33Serikali ya wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku vyama vyote vya siasa nchini humo ikidai kuwa ni kinyume cha sheria za Kiislamu au Shariah.
-
Uchambuzi wa hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah katika maadhimisho ya mwaka wa 17 ya Vita vya Siku 33
Aug 16, 2023 05:39Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amehutubia kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 17 ya Vita vya Siku 33.
-
UN yatoa indhari: Maelfu ya magaidi wa DAESH (ISIS) wangaliko Syria na Iraq
Aug 15, 2023 23:19Umoja wa Mataifa umeonya kuwa bado kuna maelfu ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) katika nchi za Iraq na Syria.
-
Russia: Kurejea Syria Arab League kumeimarisha utulivu na amani katika ukanda mzima
Aug 15, 2023 07:14Waziri wa Ulinzi wa Russia amepongeza kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) na kulitaja jambo hilo kuwa limetia nguvu utulivu katika eneo zima la Asia Magharibi lakini ameonya kuhusu uwezekano wa wa kuzuka mivutano mipya inayochochewa na madola ya Magharibi.
-
Nasrullah: Tutairejesha Israel 'enzi za jiwe' ikiingia vitani na Lebanon
Aug 15, 2023 04:06Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameionya vikali Israel na kusisitiza kuwa, utawala huo wa Kizayuni utarejeshwa nyuma mamilioni ya miaka hadi enzi za jiwe, iwapo utaingia katika vita vipya na Lebanon.
-
Viongozi wa Hizbullah, Jihad Islami wakutana kujadili matukio ya Palestina
Aug 14, 2023 04:18Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amekutana na kiongozi wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina.
-
Magaidi Waisraeli wanashambulia shule za Wapalestina
Aug 14, 2023 04:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imelaani vikali vitendo vya kigaidi vya hivi punde zaidi vya walowezi wa Israel dhidi ya shule mbili za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
-
Sababu za kuongezeka jinai za genge la kigaidi la Daesh nchini Syria
Aug 14, 2023 00:30Genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa mara nyingine tena limeongeza operesheni zake za kigaidi nchini Syria.