-
NAM yatoa wito wa kufanywa juhudi zaidi kimataifa kuhakikisha Wapalestina wanarejeshewa haki zao
Jul 07, 2023 23:54Mawaziri wa mambo ya nje wa Vuguvugu la Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM, wameeleza katika taarifa ya mwisho ya kikao chao kilichofanyika katika mji mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan, Baku kwamba kuna haja ya kufanyika juhudi zaidi kimataifa za kutafuta njia ya ufumbuzi wa kiuadilifu utakaohakikisha Wapalestina wanarejeshewa haki zao.
-
Utawala wa Israel umeambulia patupu katika jinai zake dhidi ya Wapalestina huko Jenin
Jul 06, 2023 23:37Oparesheni ya kikatili ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina huko Jenin katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan imemalizika baada ya siku 2, na kwa mujibu wa Wazayuni, operesheni hiyo haijafanikiwa chochote.
-
Brigedi za Qassam: Wazayuni wajiandae kwa wakati ngumu sana katika siku za usoni
Jul 06, 2023 07:05Brigedi za Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetoa taarifa na kusema kuwa, utawala wa Kizayuni unaozikalia kwa mabavu ardhi za Palestina, ujiandae na wakati mgumu sana katika siku za usoni.
-
Mzozo wazidi kurindima baina ya Wazayuni, mkuu wa polisi Tel Aviv ajiuzulu
Jul 06, 2023 06:30Mzozo unazidi kurindima ndani ya utawala wa Kizayuni huku njama zote za waziri mkuu, Benjamin Netanyahu za kujivua kwenye kinamasi cha maandamano makubwa dhidi yake zikiendelea kufeli. Netanyahu na serikali yake yenye misimamo ya kufurutu ada anafanya mauaji ya kikatili kila kukicha dhidi ya Wapalestina lakini bado wapinzani wa Netanyahu wanazidi kupata nguvu.
-
Nara za "mauti kwa Israel" zarindima mbele ya ubalozi wa utawala wa Kizayuni mjini London
Jul 06, 2023 03:55Mamia ya waandamanaji wanaopinga jinai na ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika kambi ya wakimbizi ya Jenini jana jioni walikusanyika mbele ya ublozi wa utawala huo huko London, Uingereza, wakipiga nara za "mauti kwa Israel".
-
Sekretarieti ya Intifadha ya Palestina: Muqawama wa Palestina unatoa vipigo vikali kwa adui Mzayuni
Jul 05, 2023 22:49Sekretarieti ya Kudumu ya Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ya Bunge la Iran imetangaza katika taarifa yake kuwa: Hii leo muqawama wa Palestina umefikia kiwango cha juu cha ukomavu na kuimarika kiasi kwamba unaweza kutoa kipigo kwa adui Mzayuni popote pale na wakati wowote.
-
Muqawama wawapongeza Wapalestina kwa ushindi mkubwa Jenin
Jul 05, 2023 06:34Makundi ya muqawama yamewapongeza wananchi wa Palestina kwa kupata ushindi mkubwa wa kufanikiwa kuzima uvamizi na mashambulizi ya jeshi katili la Israel dhidi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kutumia vibaya Israel machafuko ya Ufaransa na kuchomwa moto Qur'ani Tukufu nchini Sweden
Jul 04, 2023 23:05Jeshi la utawala wa Kizayuni usiku wa kuamkia Jumatatu lilianzisha mashambulio makubwa dhidi ya mji na kambi ya wakimbizi ya Jenin ya Wapalestina. Magari 150 ya kijeshi na askari 1000 wa majeshi ya polisi, magenge ya kijasusi ya Kizayuni na polisi wa mpakani wa Israel wameshiriki kwenye uvamizi huo.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Rukhsa kuvunjia heshima Qur'ani; lakini marukufu kufichua jinai za Wazayuni!
Jul 05, 2023 04:22Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yermen amekosoa kutoonyesha hisia ulimwengu wa Kiislamu kuhusiana na tukio la kuchomwa moto Qur'ani tukufu nchini Sweden na jinai za Wazayuni huko Palestina.
-
Wapalestina elfu tatu walazimika kuhama Jenin kutokana na mashambulio ya kinyama ya Israel
Jul 04, 2023 07:39Hilali Nyekundu ya Palestina imetangazai kuwa, Wapalestina elfu tatu wa kambi ya Jenin wamelazimika kuyahama makazi yao kufuatia mashambulizi ya kinyama na yanayoendelea kufanywa mtawalia na jeshi la utawala haramu wa Kizayuni katika kambi hiyo.