-
Uturuki na Misri zateua mabalozi na kurejesha kikamilifu uhusiano wao wa kidiplomasia
Jul 04, 2023 06:48Uturuki na Misri zimeteua mabalozi wa pande mbili ili kurejesha rasmi uhusiano wao katika ngazi ya juu ya kidiplomasia.
-
Makundi ya muqawama Palestina: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Jenin
Jul 04, 2023 03:46Makundi ya muqawama wa Palestina yameapa kuwa yatalipiza kisasi cha damu za Wapalestina waliouawa shahidi katika mashambulizi ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika mji wa Jenin, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
OIC:Jinai za Jenin ni mwendelezo wa ugaidi ulioratibiwa wa Israel/Baraza la Usalama linapaswa kuchukua hatua
Jul 04, 2023 01:01Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imelaani vikali jinai zinazotekelezwa na jeshi la utawala wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuzitaja kuwa ni mwendelezo wa ugaidi ulioratibiwa na utawala huo.
-
Viongozi 6 hatari wa Daesh watiwa nguvuni Iraq
Jul 04, 2023 00:52Idara ya Intelijinsia ya Iraq imetangaza kuwatia mbaroni watu sita wanaotajwa kuwa magaidi hatari sana wa kundi la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Nineveh nchini humo.
-
Jinamizi la Wazayuni kufuatia kusambaratika ukiritimba wao katika nguvu ya anga
Jul 03, 2023 23:13Gazeti la Kiebrania la Maariv limeripoti kuwa uchunguzi wa duru za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel unaonyesha kuwa uwezo wa anga hususan wa ndege zisizo na rubani za harakati ya Hizbullah ya Lebanon umeongezeka ili kukabiliana na nguvu za anga za utawala huo ghasibu.
-
Shambulio la kinyama la Israel katika kambi ya Jenin laua na kujeruhi makumi ya Wapalestina
Jul 03, 2023 09:34Jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi ya kinyama ya anga kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na kuua shahidi Wapalestina wasiopungua wanane na kujeruhi makumi kadhaa.
-
Taliban:Tungekubali kuwa watumwa wa Marekani serikali yetu ingekuwa imeshatambuliwa
Jul 03, 2023 08:35Msemaji wa serikali ya Taliban amejibu shutuma za baadhi ya maafisa wa serikali ya zamani ya Afghanistan kuhusiana na uhusiano wa nchi hiyo na Marekani na kusema: "kama tungekuwa tunaendeshwa na Marekani, tungekuwa tayari tumeshatambuliwa".
-
Algeria yaiomba Misri iiruhusu Algiers iupe Ukanda wa Ghaza mafuta ya bure
Jul 03, 2023 03:34Baadhi ya duru za habari za Kiarabu zimetangaza kuwa, Rais wa Algeria amemuomba rais mwenzake wa Misri kutoa kibali kwa Algeria kuupa mafuta ya bure Ukanda wa Ghaza.
-
Mufti wa Oman atoa wito wa kususiwa bidhaa za Uswidi baada ya kuvunjiwa heshima Qur'ani
Jul 02, 2023 08:23Mufti wa Oman ametoa wito wa kususiwa bidhaa za Sweden kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Sweden.
-
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Hizbullah yaitia wahaka Israel
Jul 01, 2023 05:52Gazeti moja la Kiebrania limeripoti kuwa, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel linatiwa wasi wasi na mifumo ya ulinzi wa anga ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.