-
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Hizbullah yaitia wahaka Israel
Jul 01, 2023 05:52Gazeti moja la Kiebrania limeripoti kuwa, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel linatiwa wasi wasi na mifumo ya ulinzi wa anga ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Saudi Arabia yainyima Israel kibali cha kuhudhuria mkutano wa UNESCO
Jul 01, 2023 03:24Shirika la habari la Sputnik la Russia limetangaza kuwa, Saudi Arabia imekataa kuwaruhusu wawakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel kuhudhuria mikutano ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambayo imepangwa kufanyika mjini Riyadh mwezi Septemba mwaka huu.
-
Ayatullah Sistani ataka Umoja wa Mataifa uzuie kukaririwa vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani
Jun 30, 2023 04:11Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Marjaa wa Waislamu wa Kishia ameutaka Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kuzuia kukaririwa vitendo vya kuvunjiwa heshima kitabu cha Waislamu cha Qur'ani Tukufu.
-
Mgogoro wa Pakistan na matokeo mabaya ya kuhukumiwa maafisa 15 wa jeshi
Jun 29, 2023 23:57Msemaji wa jeshi la Pakistan, Jenerali Ahmed Sharif Chaudhry amesema kuwa, maafisa 15 wa jeshi hilo wametiwa mbaroni wakihusishwa na machafuko yaliyotokewa baada ya kukamatwa waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Imran Khan.
-
Marais wa Misri na Syria wafanya mazungumzo ya simu kwa mnasaba wa Idul Adh’ha
Jun 29, 2023 02:39Rais wa Misri amezungumza kwa simu na Rais Bashar al Assad wa Syria na kumpongeza kwa kuwadia sikukuu ya Idul Adh’ha ya Mfunguo Tatu.
-
Afisa wa Yemen: Tulikomesha wizi wa mafuta uliofanywa na Marekani, Uingereza na Ufaransa
Jun 28, 2023 09:45Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Kitaifa ya Wokovu wa Yemen amejibu kauli iliyotolewa na mabalozi wa Ufaransa, Uingereza na Marekani akisisitiza kuwa, kinyume na madai yaliyotolewa katika taarifa yao, Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen haikuzuia mauzo ya mafuta nje ya nchi, lakini ilizuia wizi wa bidhaa hiyo.
-
Mwakilishi wa UAE katika Umoja wa Mataifa: Israel inapasa kusitisha haraka ujenzi wa vitongoji
Jun 28, 2023 04:28Mwakilishi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni kusimamisha haraka iwezekanavyo ujenzi wa vitingoji vya walowezi na mashambulizi dhidi ya Wapalestina ili kutolitumbukiza eneo katika mivutano zaidi.
-
Wazayuni wakiri: Baraza la Mawaziri la Netanyahu linachochea jinai Ukingo wa Magharibi
Jun 28, 2023 04:25Gazeti moja la Kizayuni limezinukuu duru za usalama na kukiri kuwa jinai za Wazayuni zinaongezeka katika eneo la Ukingo wa Magharibi kwa ruhusu ya baraza la mawaziri la Israel.
-
Kuzidi kuporomoka nafasi ya Netanyahu huko Israel
Jun 27, 2023 22:51Matokeo ya uchunguzi wa maoni ya hivi karibuni kabisa uliofanywa na vyombo vya habari vya utawala ghasibu wa Israel yanaonyesha kuwa, mapenzi na uungaji mkono kwa Benjamin Netanyahu unazidi kuporomoka huku vyama tanzu katika serikali yake vikizidi kumuacha mkono.
-
Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu wasimama Arafa, kesho ni Mina
Jun 27, 2023 09:52Mmilioni ya Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, Al Kaaba, leo wanasimama katika uwanja wa Arafa katika kilele cha ibada tukufu ya Hijja.