-
Kuendelea ujenzi wa vitongoji haramu vya Israel licha ya kuweko upinzani mkubwa
Jun 27, 2023 09:24Utawala ghasibu wa Israel umeafiki mpango wa ujenzi wa nyumba mpya 5,623 katika Ukingo wa Magharibi ikiwa ni muendelezo wa mkakati wa kupora na kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
HAMAS yafanyia majaribio kombora lake jipya Ukanda wa Gaza
Jun 27, 2023 04:08Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imefanyia majaribio kombora lake jipya katika Ukanda wa Gaza.
-
Hizbullah: Hakuna njia ya kujitoa katika mzozo wa urais isipokuwa mazungumzo
Jun 27, 2023 01:06Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria mgogoro kuhusu suala la kumchagua rais mpya wa nchi hiyo na kusema mazungumzo ndiyo njia pekee ya kuondokana na mgogoro huo. Amesisitiza kuwa kuendelea hitilafu juu ya suala hilo hakuna manufaa yoyote.
-
Sababu zilizotolewa na Taliban kuhusu kutoruhusu kusoma wasichana wa Afghanistan
Jun 26, 2023 23:16Zabihullah Mujahid, msemaji wa kundi la Taliban la Afghanistan amesema kuwa, kuzuiwa wasichana nchini humo, kusoma masomo ya zaidi ya darasa la sita ni jambo la dharura kwa hivi sasa hadi pale vitabu vya masomo vitakapofanyiwa marekebisho.
-
Jihadul Islami: Wazayuni wametangaza vita kwa kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu
Jun 26, 2023 06:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina ya Jihadul Islami imetangaza kuwa, hatua ya Wazayuni ya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu ni kutangaza vita dhidi umma wa Kiislamu.
-
Mfalme wa Jordan asisitiza kuundwa taifa huru la Palestina
Jun 26, 2023 04:25Mfalme Abdullah II wa Jordan amesisitizia suala la kuundwa taifa huru la Palestina mji mkuu wake ukiwa Baytul-Muqaddas.
-
Radiamali ya nchi za Kiarabu kwa jinai za Wazayuni Ukingo wa Magharibi
Jun 25, 2023 08:08Nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya uajemi zimelaani hujuma ya kikatili ya walowezi wa Kizayuni huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Ibada ya Hija yaanza leo Saudia, mahujaji ni zaidi ya milioni mbili
Jun 25, 2023 04:44Ibada ya Hija, inaanza leo Jumapili katika ardhi tukufu ya Makka ikishirikisha zaidi ya Waislamu milioni mbili kutoka maeneo mbalimbali ya dunia, na inatazamiwa kuhitimishwa kwa nguzo kubwa ya Hija, ambayo ni kusimama Arafa siku ya tisa ya Dhulhija 1444, inayoangukia Jumanne ijayo.
-
Shtayyeh: Jamii ya kimataifa ichukue hatua za kukomesha uvamizi wa Israel huko Palestina
Jun 25, 2023 04:28Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema: Kunahitajika hatua na uhamasishaji wa kimataifa ili kukomesha uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya akiri kuhusu mauaji yasiyo na mfano wake dhidi ya Wapalestina
Jun 24, 2023 23:07Sven Kühn von Burgsdorff, mwakilishi wa Umoja wa Ulaya huko Palestina, amesema mauaji ya karibuni dhidi ya Wapalestina yalikuwa hayajawahi kuonekana tangu mwaka 2005 na kuongeza kuwa kile walichokifanya walowezi katika kijiji cha Tarmsaiya ni cha kigaidi.