-
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya akiri kuhusu mauaji yasiyo na mfano wake dhidi ya Wapalestina
Jun 24, 2023 23:07Sven Kühn von Burgsdorff, mwakilishi wa Umoja wa Ulaya huko Palestina, amesema mauaji ya karibuni dhidi ya Wapalestina yalikuwa hayajawahi kuonekana tangu mwaka 2005 na kuongeza kuwa kile walichokifanya walowezi katika kijiji cha Tarmsaiya ni cha kigaidi.
-
Al Hashdu Shaabi ya Iraq yawatia mbaroni viongozi 3 wa Daesh
Jun 24, 2023 07:48Harakati ya wapiganaji wa kujitolea ya wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashdu al Shaabi (PMU) imetangaza kuwatia mbaroni viongozi watatu wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk nchini humo.
-
UN yatahadharisha kuhusu mashambulizi ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Jun 24, 2023 06:54Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu hali ya isiyodhibitiwa katika eneo la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya walowezi wa Kiyahudi katika maeneo kadhaa ya Wapalestina.
-
Wananchi wa Jordan waandamana kuunga mkono muqawama wa Palestina
Jun 24, 2023 04:28Maelfu ya wananchi wa Jordan wameandamana kwa ajili ya kuunga mkono muqawama na mapambano ya wananchi wa Palestina na wakati huo huo kulaani jinai za kila leo za utawala haramu wa Israel.
-
Hizbullah yataka jamii ya Kimataifa iuchukulie hatua utawala haramu wa Israel
Jun 24, 2023 04:28Harakati ya Mapambano ya Kiiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imeitaka jamiii ya kimataifa kuuchukulia hatua utawala haramu wa Israel kutokana na vitendo vyake mbalimbali vya jinai na kuvunjiia heshima matukufu ya Kiislamu.
-
Mamilioni ya mahujaji wakusanyika Makka kwa ajili ya Hija kubwa zaidi katika miaka ya karibuni
Jun 24, 2023 00:58Mamilioni ya Waislamu kutoka kona zote za dunia wamekusanyika katika mji mtakatifu wa Makka kujiandaa kwa ajili ya ibada ya kila mwaka ya Hija, huku takwimu rasmi zikitarajiwa kuweka rekodi mpya katika mwaka wa kwanza wa ibada hiyo baada ya kuondolewa kikamilifu vizuizi vya janga la corona.
-
Wapalestina walaani hatua ya Wazayuni ya kuchoma moto nakala za Qur'ani Tukufu
Jun 23, 2023 23:30Kitendo cha walowezi wa Kiyahudi cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu wakati wa mashambulizi ya askari wa Israel dhidi ya misikiti ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kimeibua wimbi kubwa la laana na malalamiko ya Waislamu hususan huko Palestina.
-
Mashirika: Ni kosa kutoiweka Israel kwenye orodha ya fedheha ya UN
Jun 23, 2023 07:32Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosolewa vikali na mashirika ya kutetea haki za binadamu kwa kutoliweke jina la utawala haramu wa Israel kwenye orodha ya tawala wauaji wa watoto.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia msikiti Nablus, wachoma moto Qurani
Jun 23, 2023 06:24Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali ya kufurutu ada wamevamia msikiti mmoja na kuvunjia heshima Qurani Tukufu katika mji wa Nablus, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Jeshi na utawala wa Kizayuni zashtushwa na operesheni za kushtukiza za vijana wa kipalestina
Jun 23, 2023 04:47Duru za habari ziliripoti Jumatano asubuhi kwamba, wanamapambano wa Palestina walifanya operesheni 70 dhidi ya Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan katika muda wa saa 24.