-
Mpalestina aliyeshikiliwa kwenye gereza la Israel kwa muda mrefu zaidi wa miaka 40 aachiwa huru
Jan 05, 2023 22:52Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umemwachilia huru mateka Mpalestina aliyeshikiliwa kwenye gereza la utawala huo dhalimu kwa muda mrefu zaidi wa miaka 40.
-
Wanaharakati wanawake 35 wa Saudia wahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela
Jan 05, 2023 22:52Vyanzo vya mashirika ya kutetea haki za binadamu vimeripoti kuwa wanaharakati wanawake 35 wa Saudi Arabia wamehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela na utawala wa Al-Saud.
-
Sisitizo la kulaaniwa kuvunjiwa heshima Msikiti wa Al-Aqsa
Jan 05, 2023 06:44Nchi za Kiarabu na Kiislamu zimesisitiza ulazima wa kulaaniwa kitendo cha Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala ghasibu wa Israel cha kuuvunjia heshima Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Umoja wa Ulaya washindwa kulaani uchochezi wa waziri mwenye itikadi za kibaguzi wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa.
Jan 05, 2023 04:29Kitendo cha uchochezi cha waziri mwenye itikadi kali na za kibaguzi wa baraza la mawaziri la utawala haramu wa Israel katika kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa hakijakabiliwa na hatua yoyote ya maana kutoka kwa Umoja wa Ulaya.
-
HAMAS: Viongozi wa nchi za Kiislamu amkeni kukiokoa Kibla cha Kwanza
Jan 04, 2023 23:52Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewatahadharisha viongozi wa nchi za Kiislamu kuhusuu njama za kila namna za serikali mpya ya kifashisti ya Israel na kuwataka waamke kukiokoa Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Hisia na misimamo ya nchi za Kiarabu kwa uamuzi wa serikali ya Netanyahu wa kupanua vitongoji haramu vya wazayuni
Jan 04, 2023 23:01Kufuatia uamuzi uliotangazwa na waziri mkuu mpya wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu kwamba serikali yake itaendeleza ujenzi haramu wa vitongoji, baadhi ya nchi za Kiarabu zimelaani uamuzi huo na kuipa indhari Tel Aviv kuhusiana na madhara ya hatua hiyo.
-
UN yakemea hujuma ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa
Jan 04, 2023 08:52Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekemea hujuma zinazofanywa na Wazayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Chuo cha al-Azhar chalaani waziri Mzayuni kuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 04, 2023 04:03Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar cha nchini Misri kimelaani vikali hatua ya waziri Mzayuni mwenye misimamo ya kufurutu ada kuvamia msikiti wa mtakatifu wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Miaka saba tangu kunyongwa Ayatullah Sheikh Nimr Baqi al-Nimr mwanazuoni mtajika wa Saudi Arabia
Jan 03, 2023 22:38Ayatullah Sheikh Nimr Baqi al-Nimr alikuwa mwanazuoni mahiri na mtajika wa eneo la Qatif mashariki mwa Saudi Arabia ambaye kwa kuunga mkono maandamano ya amani ya eneo hilo alikuwa akitaka kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia, na wakati huo huo kufanyike mageuzi katika mfumo wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Wapalestina 6 wapigwa risasi na kujeruhiwa katika ukatili mpya wa Wazayuni
Jan 03, 2023 07:36Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga risasi na kuwajeruhi Wapalestina sita wakati walipovamia maeneo tofauti ya Wapalestina hao katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.