-
Trump atalipa gharama kubwa kwa mauaji ya Soleimani na Muhandis: Makundi ya mapambano ya Iraq
Jan 03, 2023 04:38Kiongozi wa kundi la mapambano la Asa'ib Ahl al-Haq la nchini Iraq amesema rais wa zamani wa Marekani Donald Trump atalipa gharama kubwa kwa kuhusika na mauaji ya kigaidi dhidi ya mashujaa wawili wa mapambano dhidi ya ugaidi, Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis.
-
Jenerali wa Kizayuni akiri kuwa mkakati wa Israel dhidi ya Iran umegonga mwamba
Jan 02, 2023 03:43Mkuu wa zamani wa idara ya intelijensia ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa mkakati wa Tel Aviv dhidi ya Iran wa kutegemea vikwazo vikali vya kiuchumi na kuanzisha mpango wa kuzuia hujuma kupitia Marekani umeshindwa.
-
Mitambo ya ulinzi wa anga ya Syria yakabiliana na hujuma za Israel katika anga ya Damascus
Jan 02, 2023 03:43Kikosi cha ulinzi wa anga cha Syria usiku wa kuamkia leo kimefanikiwa kunasa na kuteketeza makombora kadhaa ya adui mzayuni katika anga ya mji mkuu wa nchi hiyo Damascus.
-
Jihad al Islami: Hatutetereshwi na serikali mpya ya kifashisti ya Israel
Jan 01, 2023 23:05Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, harakati hiyo itaendeleza mapambano yake katika mwaka huu mpya wa 2023 hadi itakapokomboa kila shibri ya ardhi za Palestina na haitetereshwi hata kidogo na serikali mpya ya kifashisti na yenye misimamo mikali kupindukia ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena lataka mtazamo wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu kuhusu Palestina
Jan 01, 2023 23:04Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, kwa kupitisha azimio, limetaka maoni ya ushauri ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuhusu namna utawala ghasibu wa Israel unavyokiuka haki ya Wapalestina ya kujitawala na kujiainishia hatima na utawala wao.
-
Wabahraini waandamana kumuenzi Shahidi Ayatullah al Nimr
Jan 01, 2023 06:49Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ikiwa ni katika kumbukumbu ya kumuenzi Shahidi Ayatullah Sheikh Nimr Baqi al Nimr kiongozi wa Waislamu wa Kishia wa Saudi Arabia aliyeuliwa shahidi na utawala wa Aal Saud.
-
Netanyahu: Azimio la UN dhidi ya Israel halina umuhimu, linakirihisha
Jan 01, 2023 03:54Waziri Mkuu wa Israel amesema azimio jipya lililopitishwa dhidi ya utawala huo haramu katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa halina maana wala umuhimu wowote.
-
UN: Thuluthi moja ya Waarabu wanaishi katika umaskini
Jan 01, 2023 03:42Taasisi ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, thuluthi moja ya jamii ya Waarabu wanaishi katika hali ya umaskini na uchochole wa kupindukia.
-
Washington Post yakiri: 2022 mwaka wa mauaji zaidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jan 01, 2023 00:44Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa wanajeshi wa Israel waliua Wapalestina wengi zaidi mwaka uliomalizika jana wa 2022 kuliko mwaka wowote mwingine tangu Umoja wa Mataifa uanze kurekodi idadi ya Wapalestina wanaouawa na Israel mwaka 2005.
-
HAMAS yakosoa maazimio yasio na taathira yanayopitishwa na UN dhidi ya Israel
Dec 31, 2022 22:56Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeukosoa Umoja wa Mataifa kwa kupitisha maazimio kadhaa dhidi ya utawala wa Kizayuni bila ya kufikiria njia za kivitendo za kuwezesha utekelezaji wake.