-
Israel kushirikiana na nchi tatu za Kiarabu katika kuunda "Mtambo wa Kuba la Chuma la Mtandao"
Dec 17, 2022 03:32Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na nchi tatu za Kiarabu za Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE), Bahrain na Morocco, zinapanga kuzindua mradi wa ulinzi wa anga unaoitwa Mtambo wa Kuba la Chuma la Mtandao, (Cyber Iron Dome).
-
Wapalestina elfu 70 waswali Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al -Aqsa
Dec 16, 2022 23:40Zaidi ya Wapalestina elfu 70 jana waliswali Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa al Aqsa.
-
Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Saudi Arabia; kipaumbele cha Netanyahu katika sera zake za kigeni
Dec 16, 2022 23:21Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel aliyepewa jukumu la kuunda baraza jipya la mawaziri la Israel amegusia katika mahojiano aliyofanyiwa na Shirika Rasmi la Habari la Saudia kuhusiana na uhusiano wa Riyadh na Tel-Aviv.
-
Katika vita vikali vya maneno, Pakistan yamwita waziri mkuu wa India 'Chinjachinja wa Gujarat'
Dec 16, 2022 08:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amemwita waziri mkuu wa India Narednra Modi "Chinjachinja wa Gujarat" baada ya waziri mwenzake wa India kuishutumu Pakistan kuwa "kitovu cha ugaidi" huku majirani hao wenye silaha za nyuklia wakikabiliana kwa vita vya maneno katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Israel yawakatia maji Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi
Dec 15, 2022 22:55Utawala haramu wa Israel umewafungia maji mamia ya Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Baraza Kuu la UN lalaani tena uvamizi wa Israel huko Golan na Palestina
Dec 15, 2022 07:04Kwa mara nyingine tena Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio likisisitiza kuwa eneo la Golan linalokaliwa kwa mabavu na Israel ni milki ya Syria, na kwamba Wapalestina ndio wamiliki wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Syria yataka kuwepo kijeshi Marekani katika ardhi ya nchi hiyo kukomeshwe
Dec 15, 2022 03:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa ambayo sambamba na kulaani vitendo vya vikosi vamizi vya jeshi la Marekani, imetaka kukomeshwa uwepo haramu wa kijeshi wa Washington katika ardhi ya Syria.
-
Uchunguzi wa maoni: Hamas ndiyo inayostahili kuongoza Wapalestina
Dec 14, 2022 23:12Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanyika Palestina yanaashiria kuenea kwa ufisadi ndani ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina, kupungua sana umaarufu wa mamlaka hiyo na kupanda kwa nyota ya makundi ya wapiganaji wenye silaha kama Hamas na 'Arin al Usud (Pango la Simba).
-
Kutimia miaka 35 ya kuasisiwa HAMAS; mapambano na muqawama sambamba na siasa
Dec 14, 2022 23:06Miaka 35 imepita tangu ilipoasisiwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS. Harakati hiyo ya mapambano iliundwa katika Ukanda wa Gaza tarehe 14 Desemba 1987 na Sheikh Ahmad Yasin na viongozi kadhaa wa Ikhwanul-Muslimin.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Dec 14, 2022 04:20Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.