-
Mchezaji tenisi ya mezani Mlebanon agoma kucheza na Mzayuni; aiunga mkono Palestina
Nov 26, 2022 04:23Nyota chipukizi wa mchezo wa tenisi ya mezani raia wa Lebanon amejiondoa katika mashindano ya Kombe la Dunia ya Tenisi ya Mezani Kwa vijana Chipukizi (WTT) baada ya kupangwa kumenyana na mchezaji kutoka Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu).
-
Walowezi wa Kizayuni wachoma moto magari ya Wapalestina katika mji wa Quds
Nov 25, 2022 23:27Walowezi wa Kizayuni wameendelea kufanya vitendo vyao vya kinyama dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina ambapo wamechoma moto magari kadhaa ya Wapalestina katika mji wa Quds.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaonuya kuhusiana na jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Nov 25, 2022 06:34Katibu Mkuuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ameonya kuhusiana na jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na kueleza kwamba, zitakuwa na matokeo mabaya zaidi.
-
Mzayuni: Tusijidanganye, Waarabu hawaupendi utawala wa Kizayuni
Nov 25, 2022 03:54Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetuma timu kadhaa za waandishi na wataalamu wa vyombo vya habari kwenye Kombe la Dunia nchini Qatar; Miongoni mwa waandishi hao ni "Ohad Ben Hamo," mwandishi wa habari wa Israel ambaye anajulikana kuwa ni mtaalamu wa masuala ya Waarabu na Wapalestina.
-
Utawala dhalimu wa Israel umebomoa zaidi ya skuli 50 za Wapalestina katika mwaka huu
Nov 24, 2022 23:22Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Umoja wa Mataifa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umebomoa zaidi ya skuli 50 za Wapalestina katika mwaka huu wa 2022.
-
Onyo kali la Yemen kwa muungano wa Saudia kuhusu kuendelea kuporwa nishati ya nchi hiyo
Nov 24, 2022 23:04Huku uporaji wa mafuta ya Yemen ukiwa unaendelea, Abdul Aziz bin Habtour, Waziri Mkuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ametahadharisha kuwa, iwapo uporaji huo utaendelea, Wayemen watalazimika kuzilenga meli za mafuta za muungano wa Saudia.
-
Mashabiki wa soka waendelea kuiunga mkono Palestina katika Kombe la Dunia
Nov 24, 2022 04:02Mashabiki wa soka wanaoshuhudia fainalii za mashindano ya kandanda ya Kombe la Dunia nchini Qatar wameendelea kuonyesha himaya na uungaji mkono wao kwa taifa la Palestina.
-
Polisi ya utawala wa Kizayuni yatangaza hali ya hatari baada ya miripuko ya al Quds
Nov 23, 2022 22:58Polisi ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza hali ya hatari katika ardhi zote zinazokaliwa kwa mabavu ikihofia uwezekano wa wana muqawama wa Palestina kuekeleza tena oparesheni dhidi ya Wazayuni.
-
Al Sudani afanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait
Nov 23, 2022 22:54Waziri Mkuu wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait na kusisitiza juu ya ulazima wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Makundi ya Palestina: Operesheni ya Quds ni pigo kwa muundo wa usalama wa Israel
Nov 23, 2022 08:33Makundi mbalimbali ya Palestina yamesema kuwa, operesheni za kishujaa iliyofanywa dhidi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Baytul Muqaddas ni fakhari kwa taifa la Palestina, ni katika kujibu jinai za Wazayuni na ni kufeli muundo wa kiusalama wa Israel kukabiliana na wanamapambano wa Palestina.