-
Wapalestina wapata ushindi mwingine Umoja wa Mataifa
Nov 18, 2022 03:17Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha azimio ikitambua haki ya watu wa Palestina ya kuamua hatima yao wenyewe.
-
Moto waua watu 21 Ukanda wa Gaza, Mamlaka ya Ndani yatangaza maombolezo ya umma
Nov 18, 2022 03:01Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ukanda wa Gaza imetangaza habari ya kufariki dunia watu wote waliokuwa katika jengo la ghorofa lililoteketea kwa moto katika kambi ya Jabalia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, huku Jeshi la Ulinzi la Wananchi likieleza kuwa wafanyakazi wake wameopoa miili 21 ya waliofariki dunia kutokana na moto huo.
-
Kusambaratika miundombinu ya uchumi wa Afghanistan katika miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu na Marekani
Nov 17, 2022 22:49Waziri wa Uchumi wa serikali ya wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan amesema kuwa, miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu nchi hiyo na wanajeshi wa Marekani ndio sababu kuu ya kusambaratika miundombinu ya uchumi wa nchi hiyo.
-
Wazayuni wapatwa na kiwewe cha kwenda Qatar wakati wa fainali za Kombe la Dunia
Nov 17, 2022 22:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaonya Wazayuni wasitembelee Qatar au wachukue tahadhari kubwa wakiweko nchini humo wakati wa fainali za Kombe la Dunia.
-
Kivuli cha ufashisti kwenye bunge na baraza jipya la mawaziri la utawala wa Israel
Nov 17, 2022 09:43Siku ya Jumanne Novemba 15, kilifanyika kikao cha kwanza cha Bunge la Kizayuni (Knesset) ambapo wawakilishi 120 wa bunge hilo walikula kiapo mbele ya Isaac Herzog, rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel yatumia bunduki za roboti dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Nov 17, 2022 03:25Jeshi la utawala haramu wa Israel limepeleka silaha mpya za roboti katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huku makabiliano baina ya Wazayuni na Wapalestina yakipamba moto.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni hauwezi kubadili utambulisho wa Quds
Nov 16, 2022 22:53Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kubadili utambulisho wa kihistoria wa Quds tukufu.
-
Bunge la wazayuni washupalia vita zaidi katika historia ya Israel laanza kazi rasmi
Nov 16, 2022 22:50Bunge jipya la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel (Knesset) limeanza kazi rasmi huku vyombo vya habari vikilitaja kuwa ni Knesset ya "wenye misimamo mikali zaidi na washupalia vita zaidi" katika historia ya utawala huo.
-
Indhari ya UNRWA kuhusu kuongezeka umaskini miongoni mwa wakimbizi wa Kipalestina
Nov 16, 2022 07:25Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limetahadharisha kuhusu kuongezeka kwa kiasi kikubwa umaskini miongoni mwa wakimbizi wa Kipalestina huko Syria, Lebanon na Ukanda wa Ghaza.
-
UNRWA: Ufukara unazidi kuongezeka kwa wakimbizi Wapalestina walioko Syria, Lebanon na Gaza
Nov 15, 2022 21:34Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Kazi kwa ajili ya Wakimbizi Wapalestina UNRWA limetahadharisha juu ya kuzidi kuongezeka ufukara kwa wakimbizi Wapalestina walioko Syria, Lebanon na Ukanda wa Gaza.