-
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan abadilisha msimamo kuhusu Marekani
Nov 15, 2022 21:33Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ametoa matamshi yanayotafautiana na msimamo wake wa huko nyuma kuhusu Marekani kwa kusema: "endapo nitashinda uchaguzi, nitahakikisha tunakuwa na uhusiano na Washington utakaotupa izza na heshima".
-
Kurejea Saudi Arabia katika mfumo wa ukandamizaji; sura halisi ya bin Salman
Nov 15, 2022 21:32Katika miezi ya hivi karibuni Saudi Arabia imeingia katika hatua mpya ya vitendo vya ukatili na ukandamizaji dhidi ya wanaharakati wa kisiasa, kiraia na wa haki za binadamu.
-
Utawala wa Kizayuni; kizuizi kikuu cha uwepo wa Asia Magharibi pasina silaha za maangamizi ya umati
Nov 15, 2022 08:10Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameutaja utawala wa Kizayuni kuwa kizuizi kikuu cha uwepo wa Asia Magharibi isiyokuwa na silaha za maangamizi ya umati.
-
Wanamuqawama watekeleza oparesheni huko Ukingo wa Magharibi; Wazayuni 2 waangamizwa
Nov 15, 2022 08:03Duru za habari zimeripoti kuwa, wanamuqawama wa Palestina wametekeleza oparesheni dhidi ya Uzayuni karibu na kitongoji kimoja cha walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mrithi wa Ufalme Bahrain apewa mwaliko na Netanyahu
Nov 14, 2022 07:27Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel anayetazamiwa kuunda serikali mpya ya utawala wa Kizayuni amemualika Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Bahrain, Salman bin Hamad Aal Khalifah kuitembelea ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina la Israel.
-
Jeshi la Israel lampiga risasi na kumuua shahidi binti wa Kipalestina
Nov 14, 2022 07:19Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemuua shahidi msichana wa Kipalestina aliyekuwa na umri wa miaka 19 katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hizbullah: Marekani imekusudia kuingamiza kabisa Lebanon
Nov 14, 2022 03:16Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inapanga njama za kuiangamiza kabisa kabisa Lebanon.
-
Haki za binadamu ya Yemen: Saudia imeua makumi ya wahajiri wa Kiafrika
Nov 13, 2022 22:53Kaimu Waziri wa Haki za Binadamu wa Yemen amelaani mauaji ya wahajiri wa Kiafrika yaliyofanywa na walinzi wa mpaka wa Saudi Arabia.
-
Wazayuni waingiwa na hofu baada ya Netanyahu kupewa jukumu la kuunda serikali mpya Israel
Nov 13, 2022 22:52Sambamba na Benjamin Netanyahu kupewa jukumu la kuunda baraza la mawaziri la serikali mpya ya Israel, mmoja wa majenerali wa Israel ameutaja uteuzi wake kuwa ni maafa makubwa.
-
Kilichofanyika Bahrain ni uchaguzi au uteuzi tu wa watu?
Nov 13, 2022 05:40Jana Jumamosi, ulifanyika uchaguzi nchini Bahrain wa kuchagua wabunge 40 wa Baraza la Wawakilishi na wajume 30 wa Mabaraza ya Miji.