-
Watoto 46 wa Kipalestina wameuawa shahidi na Israel tangu kuanza mwaka huu
Oct 29, 2022 04:04Jeshi la utawala haramu wa Israel limewauwa shahidi watoto 46 wa Kiipalestina tangu kuanza mwaka huu wa 2022.
-
HAMAS, Jihad Islami na Yemen zalaani shambulio la kigaidi nchini Iran
Oct 29, 2022 00:51Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina na mamlaka za Yemen zimetoa taarifa za kulaani shambulio la kigaidi lililotokea siku ya Jumatano katika Haram Tukufu ya Shah Cheragh ya mjini Shiraz, kusini magharibi mwa Iran.
-
Jeshi la Israel laendelea kumwaga damu za Wapalestina Nablus
Oct 29, 2022 00:24Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza umwagaji damu dhidi ya Wapalestina madhulumu katika mji wa Nablus ulioko katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi wawili miongoni mwao.
-
Mkwamo wa kisiasa wa Iraq wamalizika baada ya Bunge kupasisha serikali ya al-Sudani
Oct 28, 2022 07:13Bunge la Iraq limeipasisha serikali ya Waziri Mkuu Mohammad Shia al-Sudani baada ya kuipigia kura ya kuwa na imani nayo.
-
Kataib Hizbullah ya Iraq: Riyadh imeanzisha mashine chafu ya propaganda dhidi ya Iran
Oct 27, 2022 23:24Harakati ya Kataib Hizbullah ya Iraq imetangaza kwamba Saudi Arabia inaendeleza harakati yake chafu na ya kichochezi dhidi ya Iran na inatumia vyombo vyake vya habari na makundi ya kitakfiri na kigaidi katika mwelekeo huo.
-
Kuongezeka mara 6 kiwango cha talaka nchini Saudi Arabia
Oct 27, 2022 23:23Kiwango cha talaka na wanandoa kuachana kimeongeza mno nchini Saudi Arabia katika miaka ya hivi karibuni na kutishia mustakabali wa familia nyingi katika nchi hiyo inayoongozwa kwa mfumo wa kifalme wa kifamilia.
-
Kuzingirwa Nablus, ishara ya utawala wa Kizayuni kushindwa kuzima mapambano ya Palestina
Oct 27, 2022 05:53Katika kuendeleza harakati zao za chuki dhidi ya Wapalestina, askari wa utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiuzingira kwa muda sasa mji wa Nablus, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa mji huo.
-
Wanazuoni wa Bahrain wanaosota jela: Tunatumai Papa Francis atazungumza neno la haki
Oct 26, 2022 09:27Wanazuoni wa Bahrain wanaosota kwenye jela za utawala wa kifalme wa nchi hiyo wa ukoo wa Aal Khhalifa wameeleza katika taarifa waliyotoa kumhutubu Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis kwamba, wanatumai kiongozi huyo wa kidini atasema ukweli na kuitikia wito wa imani katika ziara yake ijayo huko Bahrain.
-
Syria: Tunataka uanzishwe mfumo mpya wa kimataifa, jinai za Israel zidhibitiwe
Oct 26, 2022 09:16Kwa mnasaba wa Siku ya Umoja wa Mataifa, Serikali ya Syria imetoa wito na kusisitiza ulazima wa kuundwa mfumo mpya wa kimataifa na kuzuiwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na jinai zinazofanywa na utawala huo haramu.
-
Iran: Uungaji mkono wa Magharibi kwa Israel ni mfano mkubwa zaidi wa ukiukaji wa haki za binadamu
Oct 26, 2022 03:41Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani shambulio la utawala ghasibu wa Israel katika mji wa Nablus katika Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kuutaja uungaji mkono usio na kikomo wa Marekani na nchi nyingine za Magharibi kwa utawala dhalimu wa Israel kuwa ni kielelezo kikubwa zaidi cha ukiukwaji wa haki za binadamu.