-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kwa wanamgambo wa Taliban
Oct 01, 2022 00:34Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Afghanistan (UNAMA) amekosoa vikali hatua ya wanamgambo wa Taliban wanaotawala nchini humo ya kutochukua hatua kuboresha haki za watu katika nchi hiyo hususan ya mabanati na wanawake na kuonya kuwa, yamkini subira ya jamii ya kimataiifa kuhusiana na utendaji wa wanamgambo hao ikafikia kikomo.
-
Mkwamo mpya wa kisiasa Lebanon baada ya Bunge kushindwa kumchagua Rais
Sep 30, 2022 09:07Kikao cha kwanza cha Bunge la Lebanon kilichoitishwa kwa ajili ya kumchagua Rais mpya wa nchi hiyo kilimalizika Alkhamisi ya jana bila ya kuwa na natija.
-
Hamas: Jinai za Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina ni ukatili
Sep 30, 2022 08:22Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekashifu jinai za Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina na kusema zinatokana na tabia ya ukatili wa “kisadism".
-
Al-Halbousi: Uthabiti wa Iraq si kipaumbele cha Marekani kwa sasa
Sep 30, 2022 03:56Spika wa bunge la Iraq amesema, uungaji mkono wa Marekani kwa Iraq zaidi ni wa vyombo vya habari kuliko wa kiuhalisia na kwamba uthabiti wa Iraq si kipaumbele cha Washington kwa sasa.
-
Walowezi wa Kiyahudi wandelea na hujuma na uvamizi wao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Sep 29, 2022 21:54Kundi kubwa la walowezi wa Kiyahudi likisaidiwa na vikosi vya usalama vya utawala ghasibu wa Israel limeuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Sheikh Issa Qassim: Muqawama ni wenzo wa kukabiliana na njama za maadui wa Uislamu na Waislamu
Sep 29, 2022 21:53Sheikh Issa Qassim, kiongozi wa kimaanawi wa mapinduzi ya Bahrain amesema kuwa, kuna haja ya kudumisha njia ya muqawama na mapambano katika eneo la Asia Magharibi kama wenzo wa kukabiliana na hujuma na njama za mabeberu.
-
Bunge la Lebanon lashindwa kumpata rais wa kumrithi Michel Aoun anayemaliza muda wake
Sep 29, 2022 21:53Bunge la Lebanon jana Alkhamisi lilishindwa kumpata Rais mpya wa nchi hiyo atakayemrithi Rais Michel Aoun ambaye muhula wake wa uongozi unamalizika Septemba 31.
-
Kuimarishwa nafasi ya watoto wa Mfalme Salman katika utawala wa kiukoo wa Saudi Arabia
Sep 29, 2022 21:31Mfalme wa Saudi Arabia amemteua Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme na mwanaye, kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Pia, Mfalme Salman amemteua mwanaye mwingine, Khalid bin Salman, kuwa Waziri wa Ulinzi.
-
Israel yapuuza azimio la UN la kusitisha ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Sep 29, 2022 08:36Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Mashariki ya Kati amesema Israel inaendelea kupuuza azimio la mwaka 2016 la Baraza la Usalama la UN, linaloutaka utawala huo wa Kizayuni usitishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Msemaji wa Jihad Islami: Utawala ghasibu haupasi kutahini subira ya muqawama
Sep 29, 2022 04:14Msemaji wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina ametangaza kuwa machaguo yote yanayoweza kutumika ikiwemo jibu la kijeshi yapo mezani.