-
Bunge la Lebanon lashindwa kumpata rais wa kumrithi Michel Aoun anayemaliza muda wake
Sep 29, 2022 21:53Bunge la Lebanon jana Alkhamisi lilishindwa kumpata Rais mpya wa nchi hiyo atakayemrithi Rais Michel Aoun ambaye muhula wake wa uongozi unamalizika Septemba 31.
-
Kuimarishwa nafasi ya watoto wa Mfalme Salman katika utawala wa kiukoo wa Saudi Arabia
Sep 29, 2022 21:31Mfalme wa Saudi Arabia amemteua Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme na mwanaye, kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Pia, Mfalme Salman amemteua mwanaye mwingine, Khalid bin Salman, kuwa Waziri wa Ulinzi.
-
Israel yapuuza azimio la UN la kusitisha ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Sep 29, 2022 08:36Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Mashariki ya Kati amesema Israel inaendelea kupuuza azimio la mwaka 2016 la Baraza la Usalama la UN, linaloutaka utawala huo wa Kizayuni usitishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Msemaji wa Jihad Islami: Utawala ghasibu haupasi kutahini subira ya muqawama
Sep 29, 2022 04:14Msemaji wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina ametangaza kuwa machaguo yote yanayoweza kutumika ikiwemo jibu la kijeshi yapo mezani.
-
Ziad al Nakhala: Jinai za utawala wa Kizayuni Ukingo wa Magharibi hazitasalia bila ya jibu
Sep 28, 2022 22:53Katibu Mkuu wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesisitiza kuwa jinai za utawala wa Kizayuni huko Jenin katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hazitaachwa hivi hivi bila ya jibu.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Kufahamu ujumbe wa Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) kuna umuhimu mkubwa kwa Umma
Sep 28, 2022 10:23Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ameleza jinsi ujumbe wa Mtume wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (SAW) unavyogusa na kuzungumzia kila kitu na kusema kuwa, kuelewa umuhimu na ukubwa wa ujumbe wa Mtume wa Mwenyezi Mungu kuna umuhimu na thamani kubwa kwa Umma wa kiislamu.
-
HAMAS: Mapambano yataendelea hadi zitakapokombolewa ardhi zote za Palestina
Sep 28, 2022 07:15Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, mapambano katika mji wa Jenin wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan yataendelea hadi utakaposhindwa kikamifu utawala wa Kizayuni na kutimuliwa katika ardhi zote za Palestina.
-
Usitishaji usiositishwa wa vita vya Yemen
Sep 28, 2022 05:32Sambamba na kukaribia tarehe Pili Oktoba, siku utakapokamilika muhula wa miezi miwili wa usitishaji vita nchini Yemen, zoezi la kusimamisha mapigano katika vita vya nchi hiyo ambalo lilianza rasmi tarehe Pili Juni mwaka huu, litakuwa limekamilisha duru yake ya pili.
-
Hamas: Kuendelea kuhujumiwa al-Aqsa 'kutalipua' Asia Magharibi
Sep 28, 2022 04:42Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani vikali hujuma na uvamizi unaoendelea wa wanajeshi wa Kizayuni na walowezi wa Kiyahudi dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Ansarullah: Israel imetiwa kiwewe na makombora ya balestiki ya masafa marefu ya Yemen
Sep 27, 2022 06:45Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, nchi yake hivi sasa inamiliki makombora ya balestiki ya masafa marefu, suala ambalo limeutia kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel.