-
HAMAS: Israel inatumia vibaya udhaifu wa ulimwengu wa Kiarabu kudhibiti Masjidul-Aqswa
Sep 27, 2022 04:42Mjumbe mwandamizi wa ofiisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, utawala haramu wa Israel unatumia vibaya udhaifu ambao umeugubika ulimwengu wa Kiarabu na hivyo kuudhibiti mji wa Beitul-Muqaddas na msikiti mtakatidu wa al-Aqswa.
-
HAMAS: Taifa la Palestina litapata ushindi katika vita vyake na utawala haramu wa Israel
Sep 27, 2022 01:15Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, taifa la Palestina ndilo litakaloibuka na ushindi katika vita na utawala ghasibu wa israel.
-
Al Shimi: Nembo ya muqawama wa Wapalestina katika msikiti wa al Aqsa
Sep 27, 2022 01:04Wanajeshi ghasibu wa utawala wa Kizayuni wamemshambulia na kumvamia Abubakar al Shimi mzee mwenyeji wa mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu aliye na umri wa miaka 65 ambaye alikuwa na lengo la kuingia katika Msikiti mtukufu wa al Aqsa.
-
Makubaliano rasmi yafikiwa Iraq katika muungano wa "Uundaji wa Serikali"
Sep 26, 2022 07:30Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Vuguvugu la Hekima ya Kitaifa la Iraq ametangaza kuwa makubaliano rasmi yamefikiwa kati ya Masunni, Mashia na Wakurdi juu ya kuunda muungano unaojulikana kama "Uundaji wa Serikali".
-
Maulamaa wa Gaza waandamana kulaani hujuma za Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Sep 26, 2022 04:34Maulamaa na makhatibu wa misikiti huko Gaza Palestina inayokaliwa kwa mabavu wameandamana na kulaani hujuma na uvamizi mtawalia wa Wazayuni dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu
-
Wananchi wa Ireland waonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa Wapalestina
Sep 26, 2022 00:06Wananchi wa Ireland wamebeba na kupeperusha bendera ya Palestina mbele ya wanasoka wa timu ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuonyesha mshikamano na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina.
-
Pakistan yapinga tena wazo la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel
Sep 26, 2022 00:05Serikali ya Pakistan kwa mara nyingine tena imepinga wazo la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kufuatia uchochezi wa baadhi ya tawala za Kiarabu zenye fikra mgando za kuitaka ifuate mkondo huo.
-
Sheikh Naim Qassim: Iran iliwasaidia wananchi wa Lebanon, lakini Marekani inawaadhibu
Sep 24, 2022 23:13Naibu Katibu Mku wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Iran ilikuwa pamoja na wananchi wa Lebanon katika matatizo na masaibu na iliwasaidia, lakini Marekani inawaadhibu.
-
Taasisi ya Kimataifa ya Quds: Msikiti wa al-Aqswa unakabiliwa na hatari kubwa
Sep 24, 2022 23:13Taasisi ya Kimataifa ya Quds imetahadharisha kuhusiana na hatari zinazoukabili msikitii wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu na kuwataka Maulamaa wa Umma wa Kiislamu kujitokeza na kuukabiliana na njama za maadui dhidi ya eneo hilo takatifu.
-
Shirika la Kimataifa la Kupambana na Mateso: Saudi Arabia ndio sababu ya ukame na njaa inayowakabili Wayamen
Sep 24, 2022 09:38Shirika la Kimataifa la Kupambana na Mateso limesema katika ripoti yake kwamba, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ndio chimbuko la ukame na njaa inayowakabili wananchi wa Yemen kutokana na kuiziingira nchi nchi hiyo.