-
Wakuu wa Intelijensia wa Uturuki na Syria wakutana Damascus kuandaa mkutano wa viongozi wa juu wa nchi mbili
Sep 16, 2022 20:55Shirika la habari la Reuters limezinukuu duru za Syria na Uturuki na kutangaza kuwa Hakan Faidan, mkuu wa shirikia la intelijensia la Uturuki na mwenzake wa Syria Ali Mamluk wamekutana kwa mazungumzo katika mji mkuu wa Syria Damascus ili kuandaa mazingira ya mkutano wa viongozi wa ngazi ya juu zaidi wa nchi mbili.
-
Msemaji wa Ansarullah aonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon
Sep 16, 2022 20:53Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ambaye pia ni mkuu wa timu ya mazungumzo ya serikali ya wokovu wa kitaifa ya nchi hiyo, ameonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon na kujadiliana naye masuala ya karibuni kabisa ya kisiasa ya eneo hili.
-
Israel yamfuta kazi balozi wake anayetuhumiwa kuwabaka wanawake nchini Morocco
Sep 16, 2022 03:10Utawala haramu wa Israel umelazimika kumfuta kazi balozi wake wa nchini Morocco anayekabiliwa na kashfa za ngono na kuwanyanyasa kijinsia wanawake wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
HAMAS na Jihadul-Islami: Jinai za Israel hazina taathira yoyote kwa azma ya taifa la Palestina
Sep 16, 2022 03:04Harakati za Hamas na Jihadul Islami za Palestina zimesisitiza kuwa, Jinai za Israel hazina taathira yoyote kwa irada na azma ya taifa la Palestina na kwamba, Wapalestina wanafungamana kikamilifu na chaguo la muqawama na mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Hamas: Tunatazamia kuwa na uhusiano imara na Syria
Sep 15, 2022 06:18Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa inataka kuwa na uhusiano imara na Syria ikiwa ni katika fremu ya uamuzi wa harakati hiyo wa kuanzisha tena uhusiano na Damascus.
-
Waziri wa Ulinzi Yemen: Uporaji wa mali ya Yemen hautapita bila jibu
Sep 15, 2022 04:21Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen ameashiria njama za muungano wa vita wa Saudi Arabia za kupora utajiri wa Yemen na kusisitiza kuwa operesheni ya uporaji wa mali ya Yemen haitapita bila jibu.
-
Saudia yalaumiwa kwa kuwahukumu wanazuoni vifungo vya muda mrefu jela
Sep 15, 2022 03:36Jumuiya 16 za Kiislamu duniani zimetoa tamko la kulaani hukumu kali za vifungo jela dhidi ya walinganiaji wa Kiislamu wa Saudi Arabia zilizotolewa hivi karibuni na mamlaka ya mahakama ya Saudia.
-
Waziri wa Ulinzi Yemen: Uporaji wa mali ya Yemen hautapita bila jibu
Sep 15, 2022 03:35Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen ameashiria njama za muungano wa vita wa Saudi Arabia za kupora utajiri wa Yemen na kusisitiza kuwa operesheni ya uporaji wa mali ya Yemen haitapita bila jibu.
-
Mahakama ya India yakataa ombi la Waislamu, ubaguzi unaendelea
Sep 14, 2022 21:59Mahakama ya India imekataa ombi la Waislamu la kutupilia mbali shauuri la wanawake wa Kihindu la kutwaa msikiti wao katika mji wa Banaras.
-
Wapalestina 2 wauawa shahidi, Mzayuni aangamizwa Ukingo wa Magharibi
Sep 14, 2022 03:22Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi vijana wawili wa Kipalestina kwa kuwapiga risasi kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.