-
Wafungwa 1,000 wa Kipalestina watishia kuanza mgomo wa kula
Aug 29, 2022 22:02Wafungwa zaidi ya 1,000 wanaoshikiliwa katika jela na magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel wameonya kuwa wataanza mgomo wa kula chakula kulalamikia kukanyagwa kwa haki zao na ukandamizaji.
-
Muqtada Sadr atangaza kujiuzulu siasa
Aug 29, 2022 08:16Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya Iraq ametangaza kujiuzulu harakati na shughuli zote za kisiasa.
-
Mossad inakula njama ya kuzuia kufufuliwa JCPOA
Aug 29, 2022 06:32Mkuu wa Shirika la Kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) anatazamiwa kuelekea Washington kufanya mikutano kadhaa ya faragha na maafisa wa serikali ya Marekani kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Wayemen wajiundia gari lao la kwanza la kijeshi kwa kutegemea wataalamu wa ndani
Aug 29, 2022 02:58Wizara ya Mambo ya Ndani ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen imetangaza kuwa, serikali ya nchi hiyo yenye makao yake makuu mjini San'aa imefanikiwa kujiundia gari la kwanza la kijeshi kwa kutegemea wataalamu wa ndani.
-
Kitendo cha Saudia cha kusimamisha meli ya nne ya mafuta ya Yemen chazidi kulaaniwa
Aug 28, 2022 22:30Bunge la Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen limelaani vikali hatua ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ya kusimamisha meli nyingine ya mafuta kwa ajili wa wananchi wenye shida kubwa wa Yemen.
-
Wanawake Wapalestina wanateseka katika jela za Israel
Aug 28, 2022 22:15Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, utawala haramu wa Israel umewatia mbaroni zaidi ya wanawake 16,000 wa Kipalestina tangu mwaka 1967 huku mashirika ya haki za binadamu yakionya kuhusu hali mbaya ya wafungwa wa kike katika jela za kuogofya za Israel.
-
Mshikamano kambi ya muqawama, ujumbe wa Hamas wakutana na Sayyid Nasrullah
Aug 28, 2022 06:03Ujumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS umeonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon mjini Beirut, ukiwa ni ushahidi wa kuzidi kushikamana kambi ya muqawama katika eneo hili.
-
Nusu ya wananchi wa Saudia wanalalamikia ugumu wa maisha
Aug 28, 2022 05:57Uchunguzi wa hivi karibuni kabisa wa maoni unaonesha kuwa, nusu ya wananchi wa Saudia Arabia wanalalamikia ugumu wa maisha na kupanda vibaya kwa bei za bidhaa.
-
Muungano vamizi wa Saudia wazuia meli ya nne iliyobeba shehena ya mafuta ya Yemen
Aug 28, 2022 03:35Shirika la mafuta la Yemen limetangaza kuwa, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeizuia meli ya nne iliyobeba shehena ya mafuta ya nchi hiyo.
-
Takwimu mpya za kutisha zatolewa kuhusu jinai za Saudia nchini Yemen
Aug 27, 2022 20:51Wizara ya Afya ya Yemen imetangaza takwimu mpya za hasara roho na mali za watu zilizosababishwa na jinai za miaka minane ya vita vya kivamizi vya muungano wa nchi za Kiarabu wakiongozwa na Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).