-
Je, ni nani mshindi hasa wa vita vya siku tatu huko Gaza?
Aug 11, 2022 01:53Ikiwa ni katika kueneza siasa zake za kipropaganda, utawala wa Kizayuni wa Israel unaeneza uongo kuwa mara hii harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS haikushirikiana na harakati ya Jihad Islami katika vita vya siku tatu vya hivi karibuni huko Katika Ukanda wa Gaza.
-
Russia: Kuondoka majeshi ya Marekani Syria kutarahisisha na kuharakisha kuangamizwa magaidi
Aug 10, 2022 03:14Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema, kuondoka majeshi ya Marekani Syria kutarahisisha na kusahilisha kwa haraka zaidi kuangamizwa magaidi katika nchi hiyo.
-
HRW: Maadamu Israel haiadhibiwi, mashambulio dhidi ya Gaza yataendelea
Aug 09, 2022 22:42Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema, kutoadhibiwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndiko kunakoufanya utawala huo uendeleze hatua unazochukua.
-
Sayyid Nasrullah: Iran ndio moyo wa Uislamu na mrengo wa muqawama
Aug 09, 2022 20:52Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio moyo wa Uislamu na mrengo wa muqawama wa Kiislamu duniani.
-
Nukta nne muhimu za hotuba ya Ashura ya Katibu Mkuu wa Ansarullah ya Yemen
Aug 09, 2022 04:37Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amehutubia kwa mnasaba wa maadhimino ya Siku ya Ashura, hotuba ambayo ina ndani yake nukta nne muhimu za kutafakariwa.
-
Msemaji wa Jihad al Islami: Wazayuni hawakutarajia Wapalestina wanaweza kujihami kiasi kile
Aug 09, 2022 03:01Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuhusu vita vya siku tatu vya Ghaza kwamba utawala wa Kizayuni unaoikalia kwa mabavu Quds tukufu umeemewa na haukutarajia kuwa Wapalestina wangeweza kujihami kiasi chote kile.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Imam Hussein (AS) alisimama kupambana ili kuuokoa Uislamu
Aug 08, 2022 22:24Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdulmalik Badruddin Al-Houthi amesema, Imam Hussein (AS) alisimama kupambana kwa ajili ya kuuokoa Uislamu na shari ya maadui.
-
Raia Wapalestina 45 wameuawa shahidi katika siku 3 za hujuma za kikatili za Israeli huko Gaza
Aug 08, 2022 07:34Siku tatu za mashambulizi ya utawala haramu wa Israel huko Gaza yamesababisha vifo vya raia Wapalestina 45 wakiwemo watoto 15 na wanawake wanne huku wengine 360 wakijeruhiwa
-
Nasrullah: Makombora ya muqawama yameilazimisha Israel isalimu amri
Aug 08, 2022 02:54Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema maadui Wazayuni wametangaza kuwa wako tayari kufikia makubaliano ya usitishaji vita baada ya makombora na maroketi ya wanamuqawama wa Ukanda wa Gaza kuutiwa kiwewe na wahakama utawala huo wa Kizayuni.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa Al-Aqsa, Hamas yatoa onyo
Aug 07, 2022 23:11Idadi kubwa ya walowezi wa Kizayuni wenye itikadi kali waliuvamia na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) mapema Jumapili wakati utawala dhalimu wa Israel uikuwa ukiwashaambulia na kuwaua Wapalestina kwa mabomu huko Gaza kwa siku ya tatu mfululizo.