-
HAMAS: Jihadi na mapambano yataendelea hadi kitakapokombelewa Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Aug 07, 2022 02:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa tamko rasmi na sambamba na mkono wake wa pole kufuatia kuuwa shahidi Khalid Mansour, mmoja wa makamanda wa Brigedi za Quds, tawi la kijeshi la harakati ya Jihad al Islami ya Palestina, imesema kuwa, mapambano yataendelea hadi utakapokombolewa Msikiti wa al Aqsa ambao ndicho Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Watoto 6 ni katika Wapalestina 24 waliouliwa kikatili na Wazayuni tangu Ijumaa
Aug 07, 2022 02:03Idadi ya Wapalestina waliouliwa shahidi katika jinai zinazoendelea za utawala wa Kizayuni huko Ghaza imeongezeka na kufikia watu 24 wakiwemo watoto wadogo sita.
-
Jinai ya utawala wa Kizayuni katika kuishambulia Jihad Islami ya Palestina
Aug 07, 2022 01:25Ijumaa alasiri, jeshil la utawala wa kigaidi wa Israel lilitekeleza jinai kubwa dhidi ya Wapalestina kupitia mashambulizi yaliyopewa jina la "Operesheni ya Alfajiri", katika maeneo yanayodhibitiwa na harakati ya Palestina ya Jihad Islami katika Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS: Kuanzisha uhusiano na Wazayuni ndio sababu ya kushadidi jinai dhidi ya Wapalestina
Aug 06, 2022 22:29Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, mwenendo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio unaohamasisha utawala huo dhalimu kushadidisha jinai zake dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Iran yalaani hujuma ya Gaza iliyotekelezwa na utawala wa apathaidi wa Israel
Aug 06, 2022 02:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hujuma ya kuogofya ya utawala wa apathaidi wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kusema: "Palestina ina haki ya kisheria ya kujilinda mbele ya hatua za kigaidi za Israel"
-
Wazayuni: Jihad al Islami imeweka tayari zaidi ya makombora 3000 yakisubiri kufyatuliwa tu
Aug 05, 2022 23:22Duru za Kizayuni zimedai kuwa, Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina imeweka tayari kwa ajili ya kufyatuliwa makombora zaidi 3000 baada ya kiongozi wake mmoja kukamatwa katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jihad Islami yavurumisha makombora Israel baada ya kamanda wake kuuawa
Aug 05, 2022 22:49Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imevurumisha makombora zaidi ya 100 katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel ikiwa ni katika kulipiza kisasi hatua ya utawala katili wa Israel ya kumuua kamanda wa ngazi za juu wa harakati hiyo.
-
Palestina yaongeza kasi ya kampeni ya kupigania uanachama wa kudumu wa Umoja wa Mataifa
Aug 04, 2022 06:20Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuomba Palestina kupatiwa uanachama kamili wa umoja huo.
-
Syria yataka mpango wa nyuklia wa Israel uwe chini ya usimamizi wa IAEA
Aug 04, 2022 06:19Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesisitizia ulazima wa vituo vya nyuklia vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuwa chini ya ukaguzi na usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Muqtada Sadr ataka kuvunjwa bunge la Iraq na kuitishwa uchaguzi mpya
Aug 04, 2022 02:41Mkuu wa mrengo wa Sadr nchini Iraq ametaka kuvunjwa bunge la nchi hiyo na kutishwa uchaguzi mwingine wa haraka na wa kabla ya wakati wake.