-
Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ayataka mataifa ya dunia yaisusie Israel
May 16, 2022 22:02Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameyataka mataifa yote ya dunia kupasisha miswaada ya kuususia utawala ghasibu wa Israel unaotenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Miaka 74 baada ya Siku ya Nakba
May 16, 2022 06:23Miaka 74 iliyopita, utawala haramu na bandia wa Kizayuni wa Israel ulitangaza uwepo wake baada ya kufanya jinai kadhaa za kinyama dhidi ya Wapalestina.
-
Ndege ya kwanza ya biashara yapaa kutoka Sana'a baada ya kupita miaka 6
May 16, 2022 06:21Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, ndege ya kwanza ya kibiashara imepaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a kuelekea nchini Jordan baada ya kupita miaka 6.
-
Israel yampiga marufuku kwa miezi minne Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa ; asema sitakaa kimya
May 16, 2022 03:14Utawala wa Kizayuni umempiga marufuku kwa miezi minne Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa Sheikh Ikrima Sabri kutokanyaga katika eneo la msikiti huo kutokana na kile ulichokitaja kuwa hatua za Sheikh Sabri za kuuteteta Msikiti Mtukufu wa al Aqsa kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Matokeo ya karibuni ya uhesabuji kura za awali katika uchaguzi wa bunge Lebanon
May 16, 2022 03:07Ripota wa televisheni ya al Aalam ametangaza kuwa, Harakati ya Amal inayoongozwa na Nabih Berri Spika wa Bunge la Lebanon imetangaza baada ya kujulikana matokeo ya awali ya uhesabuji kura kwamba, hadi sasa imeshinda viti 17 bungeni huku Harakati ya Muqawama ya nchi hiyo Hizbullah pia ikishinda viti 23 hadi sasa.
-
HAMAS: Wavamizi hawana nafasi kabisa katika ardhi za Palestina
May 15, 2022 21:53Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa, wavamizi hawana nafasi kabisa katika ardhi za Palestina.
-
Hali ya madaraka katika Umoja wa Falme za Kiarabu baada ya kuaga dunia Sheikh Khalifa bin Zayed
May 15, 2022 21:51Sheikh Khalifa bin Zayed bin Sultan Al Nahyan Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) na mtawala wa Abu Dhabi alifariki dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 73 na sasa Baraza Kuu la Imarati limemteua Sheikh Mohamed bin Zayed bin Sultan Al Nahyan kuwa rais mpya wa nchi hiyo.
-
Mahmoud Abbas: Kusimama imara ndilo jibu bora kwa njama za kuiyahudisha Palestina
May 15, 2022 07:38Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, kusimama imara ndiyo njia pekee ya kukabiliana na njama za kuiyahudisha Palestina na kupambana na mauaji ya kimbari wanayofanyiwa Wapalestina.
-
Mrithi wa Ufalme wa Saudia akutana na kufanya mazungumzo kwa siri na Mkuu wa CIA
May 15, 2022 03:28Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammad bin Salman amekutana na kufanya mazungumzo kwa siri na Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA William Burns, ambapo wawili hao wamejadili na kubadilishana mawazo kuhusu hali ya soko la mafuta pamoja na uamuzi wa Riyadh wa kutaka kununua silaha kutoka China.
-
Palestina yataka uchunguzi wa kimataifa kuhusu mauaji ya Shireen Abu Akleh
May 14, 2022 21:56Mamlaka ya Ndani ya Palestina imesema inaunga mkono kuhusishwa taasisi za kimataifa katika uchunguzi kuhusu kitendo cha jinai cha askari wa Israel cha kumuua shahidi mwandishi habari Mpalestina wa Kanali ya Al Jazeera Shireen Abu Akleh.