-
Mitetemeko ya baada ya mauaji ya kigaidi ya Shireen Abu Akleh
May 14, 2022 21:49Ushahidi wote unaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umemuua kwa makusudi mwandishi wa habari wa kike na Mkristo wa televisheni ya Al-Jazeera ya Qatar Shireen Abu Akleh kwa mujibu mpango maalumu uliokuwe umeratibiwa tangu hapo awali.
-
Jihad al Islami yawapongeza Wapalestina kwa muqawama wao imara
May 14, 2022 06:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amewapongeza Wapalestina kwa muqawama imara na kusimama kidete kukabiliana na jinai za Wazayuni.
-
Mohammed bin Zayed ateuliwa kuwa rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati)
May 14, 2022 06:17Baraza Kuu la Muungano wa Falme za Kiarabu limemteua Mohammed bin Zayed Aal Nahyan kuwa rais mpya wa nchi hiyo.
-
Palestina: Shambulio dhidi ya jeneza la mwili wa shahidi Abu Akleh ni ugaidi wa kiserikali
May 14, 2022 03:46Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imelaani shambulio la kikatili lililofanywa na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel dhidi ya waombolezaji waliokuwa wakiusindikiza mwili wa mwandishi habari Mpalestina, na kuitaja jinai hiyo kuwa ni ugaidi wa kiserikali ulioratibiwa.
-
Lebanon yakamilisha maandalizi ya uchaguzi wa Bunge, unafanyika kesho
May 14, 2022 03:16Waziri Mkuu wa Lebanon amesema kuwa, nchi hiyo imefanya maandalizi yote yanayohitajika kwa ajili ya uchaguzi wa Bunge nchini humo.
-
Jeshi la Israel laushambulia kinyama mkusanyiko wa kuusindikiza mwili wa Shireen Abu Aqleh
May 14, 2022 00:17Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetenda jinai nyingine kwa kuushambulia kinyama mkusanyiko wa kuusindikiza mwili wa shahidi Shireen Abu Aqleh, mwandishi wa habari wa kanali ya Televisheni ya al-Jazeera ya Qatar.
-
Rasimu ya kupiga marufuku uhusiano wa kawaida na Israeli yapitishwa katika bunge la Iraq
May 13, 2022 21:42Bunge la Iraq limeidhinisha rasimu ya sheria inayopiga marufuku kuanzisha au kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Rasimu hiyo inatoa adhabu ya kifo kwa mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kuhusika na uhalifu huo.
-
Rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) afariki dunia, kuombolezwa kwa siku 40
May 13, 2022 09:59Rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) au Imarati, Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan amefariki dunia.
-
Mashirika 250 ya haki za binadamu yataka Israel ichukuliwe hatua kwa kumuua Shireen Abu Aqleh
May 13, 2022 05:20Mashirika na makundi 250 ya kutetea haki za binadamu yametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kisheria utawala haramu wa Israel kwa jinai uliyotenda ya kumuua mwandishi habari wa Televisheni ya al-Jazeera Shireen Abu Aqleh.
-
Ziyad al-Nakhalah: Adui Mzayuni anaelekea kuangamia
May 13, 2022 05:19Ziyad al-Nakhalah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema kuuwa, adui Mzayuni anaelekea kuangamia.