-
Taarifa ya IRIB Kimataifa kufuatia kuuawa shahidi mwandishi habari Mpalestina
May 11, 2022 08:42Kitengo cha Kimataifa cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) kimelaani vikali jinai ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kumuua shahidi mwandishi habari Mpalestina
-
Haniya: Njia mwandishi habari Mpalestina aliyeuawa shahidi itaendelea
May 11, 2022 08:35Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameulaani vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kumuua shahidi Shireen Abu Akleh mwandishi habari Mpalestina wa Kanali Al Jazeera.
-
Ukosoaji wa Sayyid Nasrullah kwa wanaoziandama silaha za muqawama badala ya matatizo ya uchumi, katika kampeni za uchaguzi wa Lebanon
May 11, 2022 06:12Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah, amesema kuhusu matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na vituo kadhaa vya utafiti kwamba dukuduku la akthari ya watu wa Lebanon si silaha za Muqawama bali ni hali zao za maisha.
-
Jinai mpya ya Wazayuni! Wamuua shahidi mwandishi wa al Jazeera kwa damu baridi kabisa!
May 11, 2022 03:16Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya jinai nyingine ya kumuua kikatili na kidhulma, kwa damu baridi kabisa na kutokea nyuma, mwandishi mashuhuri na nguli wa televisheni ya al Jazeera, Shirin Abu Akleh alipokuwa katikati ya kazi zake kwenye kambi ya Jenin.
-
An-Nujabaa ya Iraq yawaambia Wapalestina: Tuko tayari kwa mapambano na utawala wa Kizayuni
May 10, 2022 22:09Katibu Mkuu wa Harakati ya An-Nujabaa ya Iraq amesisitiza katika ujumbe aliotuma kwa wananchi wa Palestina kuwa, vikosi vya harakati hiyo viko tayari kwa ajili ya kupambana na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Asilimia 69 ya walowezi wa Kizayuni hawana imani na mustakbali wa Israel
May 10, 2022 05:45Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimesambaza ripoti ambayo inaweza kuwa ni ya kutisha sana kwa walowezi wa Kizayuni. Ripoti hiyo inaonesha kuwa, idadi kubwa ya walowezi hao hawana imani na mustakbali wa utawala huo pandikizi.
-
Kuwahamisha Wapalestina kwa nguvu ni jinai dhidi ya binadamu
May 10, 2022 03:33Afisa mwandamizi wa Palestina amesema hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina sambamba na kubomoa vijiji katika eneo linalokaliwa kwa mambavu na utawala huo la Ukingo wa Magharibi ni jinai dhidi ya binadamu.
-
Nasrallah: Watu wa Lebanon hawapingi Hizbullah kumiliki silaha
May 10, 2022 00:03Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah ameashiria uchunguzi wa maoni wa hivi karibuni na kusema tatizo la waliowengi nchini Lebanon si silaha za Hizbullah au Muqawama bali ni hali ya maisha.
-
Barhum Salih asisitiza udharura wa kukabiliana na ugaidi na vitisho vya usalama
May 09, 2022 23:43Rais wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo ambapo amemueleza kuhusu hatua za karibuni za kupambana na masalia ya kundi la kigaidi la Daesh .
-
Usitishaji vita; igizo la usanii inaofanya Saudia Yemen kwa kuutumia vibaya Umoja wa Mataifa
May 09, 2022 21:58Awamu ya kwanza ya ubadilishanaji mateka kati ya Yemen na Saudi Arabia imefanyika katika hali ambayo Riyadh ingali inazuia kufunguliwa tena Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a.