-
Jordan: Masjidul-Aqswa ni mali ya Waislamu, Israel yatakiwa kutoitahini subira ya Waislamu bilioni 2
May 09, 2022 03:00Kamati ya Palestina katika Bunge la Jordan imesisitiza kuwa, Waislamu wana mamlaka mutlaki kwa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa ulioko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Hizbullah yalaani shambulio la kigaidi dhidi ya jeshi la Misri
May 08, 2022 07:40Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani shambulio la kigaidi lililolenga askari wa jeshi la Misri katika jangwa la Sinai.
-
Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia alazwa hospitalini
May 08, 2022 07:36Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia amelazwa katika hospitali moja mjini Jeddah kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kitiba, wiki kadhaa tangu alipobadilishiwa betri ya kusaidia mapigo ya moyo.
-
Qatar: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni ukiukaji wa maazimio ya kimataifa
May 08, 2022 03:42Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imelaani vikali mpango mpya wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi unazozikalia kwa mabavu za Palestina.
-
Muqawama Palestina waionya Israel, waitaka isijifungulie milango ya jahanamu
May 08, 2022 03:41Makundi ya mapambano huko Palestina yameuonya utawala haramu wa Israel na kuutaka usithubutu kuchukua hatua yoyote ya kijinga ya kuwaua viongozi wa muqawama kwani kufanya hivyo ni kujifungulia milango ya jahanamu.
-
Brigedi za al-Qassam: Tutatoa jibu kali kwa Israel endapo itathubutu kuua viongozi wa muqawama
May 08, 2022 00:09Msemaji wa Brigedi za al Qassam ambazo ni tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameuonya utawala haramu wa Israel na hatua yoyote ya kijinga ya kuwaua viongozi wa muqawama.
-
Ehud Barak: Yamkini Israel ikaangamia baada ya miaka 6
May 07, 2022 23:53Waziri mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel Ehud Barak amesema ana wasiwasi mkubwa kuwa yamkini utawala huo utaangamia kabla ya kuadhimisha mwaka wa 80 tokea uasisiwe.
-
Khatibzadeh: Mapambano dhidi ya maghasibu Quds ni haki ya wananchi wa Palestina
May 07, 2022 06:46Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mapambano dhidi ya maghasibu Quds ni haki ya kisheria ya wananchi wa Palestina.
-
HAMAS: Vitisho vya Wazayuni vinatokana na kuchanganyikiwa kwao
May 07, 2022 06:44Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, njama za Wazayuni za kutaka kuwaua viongoz wa harakati hiyo huko Gaza ni ishara ya wazi ya kuchanganyikiwa utawala ghasibu wa Israel baada ya operesheni ya kimuqawama ya Tel-Aviv.
-
Mkuu wa Baraza la Mamufti Russia atangaza kuunga mkono Palestina
May 07, 2022 06:43Mkuu wa Baraza la Mamufti nchini Russia ametangaza uungaji mkono wake wa taifa madhulumu la Palestina ambalo linakabailiwa na hujuma za kila upande za utawala haramu wa Israel.