-
Israel kupitisha mpango mkubwa wa ujenzi haramu wa nyumba 4,000 Ufukwe wa Magharibi
May 07, 2022 03:40Sambamba na taarifa za uwezekano wa rais wa Marekani kutembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel), utawala wa Kizayuni umepanga kupitisha mpango wa kujenga nyumba mpya zipatazo elfu nne katika eneo la Ufukwe wa Magharibi, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Shambulio dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa, jibu huko Tel Aviv
May 07, 2022 03:37Kufuatia wito uliotolewa na walowezi wenye misimamo mikali ya Kiyahudi wa kushambuliwa Msikiti wa Al-Aqsa katika siku ya kumbukumbu ya kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina na kutangazwa dola haramu la Israel, Wapalestina wametekeleza oparesheni nyingine katika kitongoji cha walowezi hao cha El'ad huko Mashariki mwa Tel Aviv. Wazayuni watatu wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa.
-
Jihadul-Islami yataka kusitishwa mwenendo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
May 06, 2022 20:50Mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina ametoa wito wa kusitishwa mwenendo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida wa mataifa ya Kiarabu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Waungaji mkono wa muqawama nchini Jordan wataka kukatwa uhusiano wa nchi hiyo na Israel
May 06, 2022 20:49Baraza la Taifa la Kuunga Mkono Muqawama nchini Jordan limetoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kukata uhusiano wa aina yoyote ile baina yake na utawala ghasibu wa Israel.
-
Indhari kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Afghanistan
May 06, 2022 20:48Ofisi ya Mkaguzi Mkuu Maalumu wa Marekani kwa ajili ya ujenzi mpya wa Afghanistan (SIGAR) imetahadharisha kuhusu taathira za hali mbaya ya kibinadamu nchini humo.
-
HAMAS: Wazayuni wana kiwewe cha kutokea tena vita vya "Upanga wa Quds"
May 06, 2022 03:11Kiongozi mmoja wa ngazi zajuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesitna HAMAS amesema kuwa, Wazayuni bado wana kiwewe cha uzoefu mchungu wa operesheni ya "Upanga wa Quds" na hawataki kabisa kupata uzoefu mchungu mwingine kama huo.
-
Utawala wa Kizayuni: Tumepata hasara kubwa katika operesheni ya El'ad
May 06, 2022 00:00Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni amekiri hasara kubwa iliyopata Israel kutokana na operesheni ya kishujaa ya wanamapambano wa Palestina katika kitongoji cha El'ad cha mashariki mwa Tel Aviv na kusema kuwa, tumepata hasara kubwa katika operesheni hiyo.
-
Saudia ni katika nchi zinazoongoza kwa kukandamiza uhuru wa vyombo habari
May 05, 2022 21:59Jumuiya ya Maripota Wasio na Mipaka imeitaja Saudi Arabia kuwa miongoni mwa nchi zinazofanya vbaya sana kwa upande wa uhuru wa vyombo vya habari.
-
Mkuwaiti mcheza shataranji akataa kuchuana na Muisraeli
May 05, 2022 05:48Raia wa Kuwait mcheza shataranji amekataa kuchuana na Muisraeli katika Mashindano ya Kimataifa ya Sunway ya Ubingwa wa Shataranji nchini Uhispania.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa
May 05, 2022 05:34Walowezi wa Kizayuni wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) kwa mnasaba wa utawala haramu wa Israel kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina.